Konde Music Artists Ahsante Magufuli lyric

Ahsante Magufuli

Konde Music Artists Konde Music Artists
18 March 2021
14
0
0

Konde Music Artists Ahsante Magufuli Lyrics

[Harmonize]

Natamani nilie, nilie

Ila machozi hayawezi kwisha

Kulia na kushoto

Bado nahisi kama ndoto


Mi natamani nikwambie nikwambie

Ila Mungu mwendo ameukatisha

Umetuachia changamoto

Taifa lina changamoto


Ninachoweza kusema, asante

Ooh asante John Pombe, asante

Rais wa wanyonge, asante

Dr John Pombe Magufuli


Asante baba, asante

Nasema asante kwa yote mazuri, asante

Dr John Pombe Magufuli, asante

Dr John Pombe Magufuli


[Ibraah]

Aah...Watanzania, ah.. wote tunalia

Kweli tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi

Aah...wote watanzania, na kwa pamoja tunalia

Kweli tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi


[Anjella]

Moyo umejawa na simanzi

Pengo limebaki wazi

Umetutoka mchapa kazi

Yeah yeah...


Moyo umejawa na simanzi

Pengo limebaki wazi

Umetutoka mchapa kazi

Iyee iyee...


[Country Wizzy]

We feel so lonely, we feel so lonely

We feel so lonely baba you gone

Umetuacha na upweke, umetuacha na upweke

Umetuacha na upweke baba you gone


Wewe ni my favourite, my super hero

My superman, wewe ni zaidi kiongozi bora

And I don't if we can, I don't know yeah

Baba I don't know


[Cheed]

Magufuli ulikuwa shujaa

Umetuachia jeraha

Ona wanyonge sitakuona tena

Ulale pema, ulale pema


Umetuachia kilio, kilio kilio

Kilio, kilio


[Ibraah]

Aah...Watanzania, ah.. wote tunalia

Kweli tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi

Aah...wote watanzania, na kwa pamoja tunalia

Kweli tulikupenda ila Mungu kakupenda zaidi


[Harmonize]

Asante

Ooh asante John Pombe, asante

Rais wa wanyonge, asante

Dr John Pombe Magufuli


Asante baba, asante

Nasema asante kwa yote mazuri, asante

Dr John Pombe Magufuli, asante

Dr John Pombe Magufuli


[Killy]

Ulisimama kidete

Kupinga kila lisilo jema

Ju ya nchi yetu leo haupo tena

Haupo tena, haupo tena na sisi


Nyerere na Mkapa wakupokee

Na mlale mahala pema

Mahala pema, mahala pema

Mahala pema, hamko tena na sisi


[Harmonize]

Asante

Ooh asante John Pombe, asante

Rais wa wanyonge, asante

Dr John Pombe Magufuli


Asante baba, asante

Nasema asante kwa yote mazuri, asante

Dr John Pombe Magufuli, asante

Dr John Pombe Magufuli


Watanzania wenzangu pole pole

Masikini wenzangu pole pole

Nchi yangu pole, pole


Mama Janet, pole pole

Mama Samia Suluhu, pole pole

Kassim Majaliwa, pole pole

Serikali yangu, pole pole

Pole, Pole, Pole


Mungu Baba wa mbinguni

Uliyetoa kwa upendo

Umetwaa kwa upendo

Jina lako lihimidiwe

Amen


Comments

Other song(s) of Konde Music Artists

You may also like these lyrics

00:00 00:00