Moni Centrozone My Life lyric

My Life

Moni Centrozone Moni Centrozone
:
Jux
25 June 2021
119
0
0

Moni Centrozone My Life Lyrics

Central Zone East , Majengo Sokoni for lifestyle.

[Chorus: Jux]
Cuz am living my life eeh, My life my life
Cuz am living my life eeh, My life my life 
Cuz am living my life eeh, My life mmmh my life
Cuz am living my life eeh, My life no no nooo my life 

[Moni Centrozone]
Tukishapiga puff eeeh hatupokei councelling
Hatupokei counseling
Tumetoka Dambwe tunaongeza Hustling tunaongeza Gasoline.

[Verse: 1 Moni Centrozone]
Kutoka kwenye ardhi ya mangwea na bushoke,
Ambapo tembo alididimia kwenye tope,(Idodomia)
Ilibidi nihame mkoa ndo nitoke,
Salute kwa chamber squard makole hexagon na dope,
Mkitaja watoto wenu wa trap msitaje jina langu,
Maybe best rapper of all time ndo mtaje jina langu,
Wanasema mi naongea nikilewa nikivuta kaya,
Nyuma ya kuta za choo sasa mchizi nachimba dawa,
I wonder masnitch sio washindi japo wanalala na kete,
Wanatamani udate kutwa unawasha mipepe,
Wataisubiri story ya dem wako amemegwa wakutete,
Wakat wao madem zao wanaowakata ni vicheche,
Aah loser to pay winner to stay,
Kama pool table cheza na balls,

[Pre-Chorus: Moni Centrozone]
Tunapotoka hatusnitch oyaaa msela,
Si wenyewe watoto wa street oyaa msela
Angalia unavyoishi oyaa msela oyaaa oyaa,


[Chorus: Jux]
Cuz am living my life eeh, My life ooh no no nooo my life
Cuz am living my life eeh, My life no no noo my life 
Cuz am living my life eeh, My life woo woo wooo my life
Cuz am living my life eeh, My life no no nooo my life 

[Bridge: Jux]
Nishafanya vingi now you can tell me nothing,
Vuka vigingi yote kusaka something,
Mungu na bidiii baraka za wazazi mpka mkaelewa,
Popote napotimba sasa soo, (soo)
Mpaka wanakiri mabishoo,(mabishoo)
Kama kwenye jeshi komandoo,
Sasa mnaelewa,

[Verse: 2 Moni Centrozone]
Waambie watoto wa Dom town miaka kumi nimeikuza sijaibemenda,
Sijaona wakuibeba Dom siwez kustaafu chagua bega,
I will be the victory the leader mkulungwa leodigar tenga,
Anzia kikuyu chamwino gwasa nkuhungu mpk itega,
Nilipotoka nishaona fitna kuisaka rupia,
Tukiona ubwabwa wa hitma wana tunavamia,
Sometime mlo mmoja mama anauza bagia,
Mpaka sasa Show za mwanza nafly na bombardier,
Wengi macheckbob af wachawi wanasota vitako,
Wakija kuwanga wanakuta nimeketi kitako,
Usiombe wakuchukie wakutukanie na Mama ako,
Endapo ukiwakosea watakukumbushia maisha yako yote,

[Pre-Chorus: Moni Centrozone]
Tunapotoka hatusnitch oyaaa msela,
Si wenyewe watoto wa street oyaa msela
Angalia unavyoishi oyaa msela oyaaa oyaa,


Comments

Other song(s) of Moni Centrozone

You may also like these lyrics

00:00 00:00