Rayvanny Juu lyric

Juu

Rayvanny Rayvanny
01 February 2021
111
0
0

Rayvanny Juu Lyrics

(It's S2kizzy beiby)


Maboya wanateta, kama mi napeta

I'm making my paper (Making my paper)

Sijachana mikeka mifuko imecheka

Sa mwendo wa mateka


Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)


[?] wanataka battle ila mi nawaweza

Hata kucompare

The rap heat na ndo zinazo tamba on air

King juu ya chain, dollar ju ya udone air

So ukiwasha moto so kiki wanajua wanakuchochea


Cause I've killing rappers kama nyinyi

Na sio peke yako labda uje na wenzako themanini

Maana mie peke yangu kama rappers mia 

Na nyinyi sitini

So uje na rappers wote ambao wanabeef na mimi


Si funny huwa sichekagi na adui vitani

Mi na shetani akiskia beat ananipanda kichwani

Na mama zako siku zote wanadata na fani

Watachana ila kupendwa na mavijimama ndo sidhani


Na nata utanitaka, na ndio maana watoto wanadata

Ju skinny nanata swadakta na nyumbani ukiwa ndani utanipata

Ukinikata una cheese ya mambata 

Sio uoga nguo -- tunamfuata

Utamu huwaga ndo utamu wa bata

Ulichokitaka ndo unachokipata sasa

Bitch!


Maboya wanateta, kama mi napeta

I'm making my paper (Making my paper)

Sijachana mikeka mifuko imecheka

Sa mwendo wa mateka


Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)


Wanafosi tabasamu la kibosi

Kwenye sura za madeni

Kunichukia ni kuchemsha maji

Kovu la mpeni


Mi mambo ya basha, haya kenge mchicha nifuateni

Ghetto jipepee, Koffi Olomide hakuna feni


Nacheka na masnitch utasema siwajui jui

More money Gucci Prada Lui Lui

Hata anipe bure sinunui

V Vanny Boy Mr big name, chui chui


Mziki shule watoto walikimbia umande

Sasa unashindanisha pilau na makande

Nenda kawange ila bado utakaa upande

Naitwa Chui toka Wasafi kwenye ukoo wa Mzee Nyange


Maboya wanateta, kama mi napeta

I'm making my paper (Making my paper)

Sijachana mikeka mifuko imecheka

Sa mwendo wa mateka


Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)

Mikono juu (Eeh), mikono juu (Eeh)Comments

You may also like these lyrics

00:00 00:00