Harmonize - Serikali Kuu Lyrics


Paul Maker ft Harmonize

OK

Just to show them we can do both

Ukinipa beat nachana, utasema boss

Riki, misitabiriki, fundi wa muziki

Wananiita kisiki, Eey

Dem Wako akisema simpendi konde boy huyu

Uju ka ni game nakaliwa buyu

Endelea kungojea mchicha

Uje kua mbuyu, usijifanye huniskii

Nigga I'm talking to you


Hatuna TV na hatuna radio (radio)

Yes, of course, we run the city yoh (city yoh)

Hit after hit tega sikio

Kichwani haziishi material


I'm a genius musician, leo nakalisha ma rapper

Wenye chuki na mimi watasema najitapa

So many sacriFIce jo hadi kuka hapa

Nikifa mnizike kwa heshima kama Benjmin Mkapa


Nyerere, chizi ow dada zao wanachuma tembele

Singezaliwa mtwara na singezaliwa mbele

Kama ningecheza mpira ni levels za kina pele

Kwenye mziki nimeletwa ninwazime makelele


Mi hua nafanya visivyo fanyika (ouuh)

Huaga nachana visivyochanika (ouuh)

Bara muombe kuungana mutanusulika

(mkifosi kushindana nitawafunika)Hii ndo serikali kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka 

Watasema tuko vindoo vindoo

Vindoo vindoo

Serikali Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka 

Watasema tuko vindoo vindoo

Vindoo vindoo 


Konde Gang serkalii kuu ya mizuka 

Ukitaka vimba, nuna, pasuka

Picha ndo linaanza kumepambuazuka

Vipi mliosema eti nimekurupuka


Sikuizi wanataka peace haiwapati

Kumbe ni nyoka wa kufugwa wa ngati

Mnyama ni nyoka huezi mshikia manati 

Mi naitwa tembo yaani big elefanti


Ana anado, splingi matumbo

Mjanja siku zote huaga hafuati mkumbo 

Tena sina time ya kuandika mafumbo

Changu si chako why tupigane vikumbo


Eh bwana, nipe nikupe

ushike, utupe

Nilipe, nikope

kitanyi, unikute

nikona wanangu tunakula ndum

Leo ng'ombe wa maziwa amekufa kwa sumu


Serikali kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka 

Watasema tuko vindoo vindoo

Vindoo vindoo

Serikali Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka 

Watasema tuko vindoo vindoo

Vindoo vindoo 


[ ... Konde Gang for everybody ... ]


Hii ndo serikali kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka 

Watasema tuko vindoo vindoo

Vindoo vindoo

Serikali Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka

Kuu, la mizuka 

Watasema tuko vindoo vindoo

Vindoo vindoo