Ibraah - Nimpende Lyrics


Mmmh mmmh, ooh ooh

(Wambaga made it)


Kutwa namwomba Mungu anijalie

Maumivu mbali anipitie

Maana haieleweki haya

Hayasomeki mapenzi


Nami nimpate wa kwangu atulie

Mwenyewe tu nijisevie

Maana haieleweki haya

Yamejaa ufeki mapenzi


Na yasiwe ya kupostiana

Na vikopa kopa kwa mitandao

Ooh nani anichoresha

Nje ananinogesha 


Chonde asiwe wa kufoka foka

Mwisho akaniacha na stress kibao

Adeke na kunichekesha

Mvua ikinyesha yeah yeah yeah 


Asijeninyanyapaa

Awe mkweli tu asijeongopa

Mwenzenu kuteswa naogopa

Asiwe na mipasho 


Kama Khadija Kopa

Tupendane wasiniteke vipopa

Yasiwe ya Konde na Wolper

Kila siku michambo


Nataka nipende, anipende

Nami nimpende anipende

Yaani nimpende eeh

Nataka nimpende 


Mwenzenu nataka nipende, anipende

Nami nimpende anipende

Yaani nimpende anipendee

Anionyeshe upendo mpaka nijisahau


Mi nakuna kuna, mi nakuna kuna

Mmmh mmmh


Na asiwe wa kususa susa

Hata nikimwambia twende tukaoge

Asiseme nikaoge mwenyewe, mwenyewe


Na yangu asijeipanguza

Akili yangu mwisho aikoroge

Ah we ambontakacho nipewe nipewe


Awe yangu medalina aah

Kwa kila hali na aah

Na nitakesha kwa Mungu nitasali

Eh mabaya yasimpate, atwepushe


Na kitandani asiewe bonge

Atamaliza godoro

Atulie asimalize chochoro

Nisimfume usiku wa giza totoro


Asijeninyanyapaa

Awe mkweli tu asijeongopa

Mwenzenu kuteswa naogopa

Asiwe na mipasho 


Kama Khadija Kopa

Tupendane wasiniteke vipopa

Yasiwe ya Konde na Wolper

Kila siku michambo


Nataka nipende, anipende

Nami nimpende anipende

Yaani nimpende eeh

Nataka nimpende 


Mwenzenu nataka nipende, anipende

Nami nimpende anipende

Yaani nimpende anipendee

Anionyeshe upendo mpaka nijisahau


Eh nakuna kuna (Chinga)

Nakuna kuna (Konde Music wah wah)

Mmmh mmmh


(The Mix Killer)


Nakuna kuna (Chinga)

Nakuna kuna (Konde Music wah wah)

Mmmh mmmh