K2ga - Hawataki Lyrics


(No aha, hey, ah, aah)


Usijutie moyo wako

Ju mi ndo chaguo

Nakupenda nakujali

Amini beiby oooh


Unaposikia mabaya yangu sema

Kwamba nakucheat, sikupendi

Nina wanawake wengi sana

Mmmh ooh sana, oooh ooh…


Hawataki niwe nawe

Hawapendi niwe nawe

Hawataki niwe nawe

Nawe nawe, nawe nawe, nawe


Hawapendi niwe nawe

Hawataki niwe nawe

Hawapendi niwe nawe

Nawe nawe, nawe nawe, nawe


Kwanza nakula kiapo uniamini

Uko peke yako kwangu moyoni

Nalinda penzi lako nalidhamini

Sasa nunu wanuna nini?


Usiwasikize hao wapuuzi

Wanakata matawi na mizizi

Nia yao waharibu penzi

Aaah penzi, ah aaah penzi


Hawataki niwe nawe

Hawapendi niwe nawe

Hawataki niwe nawe

Nawe nawe, nawe nawe, nawe


Hawapendi niwe nawe

Hawataki niwe nawe

Hawapendi niwe na

Nawe na nawe na, nawe