Wendo Musaly - Kiboko we LyricsKiboko we

Kiboko we we

Yaani Kiboko we.we we

Ninacho taka kwako

Nimapenzi yenye furaha

Tupendane tusiachane

Tuishi maisha ya furaha

Mimi nakupenda honey

Nipe penzi lakituuzima

Nisije nikaumia

Watu waka nicheka

Kama nikweli wanipenda mimi

Nionyeshe ili niamini

Nikuvishe pete mikononi

Na tufunge pingu lamaisha

Mi na we mpaka mwisho wadu ni nia

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mi ni ringe

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mimi nipe

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mi ni ringe

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mimi nipe

Kunamengi watasema kutuusu sisi

Watajaribu kutuumiza Ili tuachane

Kama penzi tunalo ladhati

Tupendane tusitengane Eh

Watatupiga maneno ya unafki

Uku tukiwaonyesha upendo wa dhati

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mi ni ringe

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mimi nipe

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mi ni ringe

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mimi nipe

Husiniambie unanipenda

Wakati hunipendi

Nionyeshé, nionyeshe

Ili niamini kama we niwaukweli

Ninachotá ni upendo wadhati

Toka moyoni mwako

Nionyeshe upendo ilinifarijike mimi!

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mi ni ringe

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mimi nipe

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mi ni ringe

Kama wanipenda babe nipe

Upendo wa dhati mimi nipe