Aslay Mchepuko

Mchepuko

Artist : Aslay

Release at : 18 Apr 2020

Aslay Mchepuko Lyrics

Unapoelekea mchepuko, wangu unanichosha Mwenzenu

Kumliza liza mke wangu jamani unanichosha mwenzenu

Hata kama niko na wewe kimwana

Utulivu unatakiwa

Mini bado nina mwenyewe kimwana

Utulivu unatakiwa


Unamrusha roho, kwanini

Unamtambia amekosa nini

Unaharibu hivyo, nyumbani

Ananililia kila siku mimi


Na unajua, kumuacha siwezi, kanizalia watoto mwenzako

Punguza kujishaua, unaharibu kichizi

Unanipa changamoto, mwenzako aahUnamvilia mini, akivaa dera

Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela

Wewe una iphone, mwenzako ana motorola

Unashindana na gigy kwenye mabendi kutunza hela

Vibaya hivyo


Mchepuko, mchepuko

Unamlisz mke wango

Mchepuko, mchepuko

Unamlisz mke wangoNinakupa mapesa, unaniita sponsor

Unaniongopea, unanikosea

Tatizao hiko kishepu na kisura chako

Ndo kinanipa mawazo mwenzako

Nashindwa kukuacha mwenzako

Wowowo nitafilisika juu yako mchepuko


Unamvilia mini, akivaa dera

Nachenjigi mawigi hata kama sijakupa hela

Wewe una iphone, mwenzako ana motorola

Unashindana na gigy kwenye mabendi kutunza hela

Vibaya hivyo


Mchepuko, mchepuko

Hebu punguza mbwembwe, punguza mbwembwe

Unamlisz mke wango

Usije kuchezea vikombe

Mchepuko, mchepuko

We mchepuko

Unamlisz mke wango


Anakujua, anakujua

Navyomjua mama watotot atakufanyizia siku moja

Anakujua, anakujua

Anakujua, anakujua

Navyomjua mama watotot atakufanyizia

Anakujua, anakujua

Navyomjua mama watotot atakufanyizia