Fermer
Magufuli Baba Lao

Magufuli Baba Lao

9
Diamond Platnumz Magufuli Baba Lao lyrics

Magufuli baba lao (Baba lao)

Joseph baba lao (Baba lao)

John Pombe baba lao (Baba lao)

Magu baba lao (Baba lao)


Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao)

Majaliwa baba lao (Baba lao)

Bashiru baba lao (Baba lao)

CCM chama lao


Kona kwa kona, chocho tuchocho

Kwa wakubwa mpaka watoto

Magu anazidi pamba moto

Wapinzani matumbo joto

Mmechoka eti? (Aaah wapi)

Mnataka lala? (Aaah wapi)


Wapinznai watatuzidi? (Aaah wapi)

Wataweza huu muziki? (Aaah wapi)

Sasa twende kisa mjini sambamba

Magu anazidi bamba 

Anafufua na viwanda

Ndege zetu tunapanda


Wataweza kweli? (Aaah wapi)

Kushindana nasi (Aaah wapi)

Hata wakiungana (Aaah wapi)

Matusi kututukana (Aaah wapi)


Magufuli baba lao (Baba lao)

Joseph baba lao (Baba lao)

John Pombe baba lao (Baba lao)

Magu baba lao (Baba lao)


Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao)

Olepole baba lao (Baba lao)

Mzee Mangula baba lao (Baba lao)

CCM chama lao