Fermer
Quarantine

Quarantine

10
Otile Brown Quarantine lyrics

Mmhh, Hello Ex

Hello Ex u hali gani?

Ni long time hatujaonana

Natumai upo salama, naelewa unanichukia

Hata jina langu hutaki sikia


Corona imekithiri, upweke umetanda

Na siku kama hii nakukosa sana

Corona imekithiri, upweke umetanda

Hasa siku kama hii nakukosa sana aah


Natamani ningekuona angalau siku moja

Nina kutu na mabusu mmmh

Natamani ningekuona angalau siku moja

Mwenzio nina kutu na mabusu


Can I quarantine with you?

Oooh can I quarantine with you?

Can I quarantine with you?

Oooh can I quarantine with you?


Quarantine, quarantine

Hata kwa msimu huu angalau

Quarantine, quarantine

Jua unanichukuia angalau


Quarantine, quarantine, ooh baby

Quarantine, quarantine, ooh mama

Hata kwa msimu huu tu

(Vicky pon this)


Ooh baby pull up! Why dont you pull up?

I got some smoke and some booze

Ni wewe tu ndo naye kosa