Rayvanny Corona Feat Magufuli Lyrics, Paroles

Corona Feat Magufuli

17 March 2020
610

Rayvanny Corona Feat Magufuli Lyrics


Corona, corona, corona

Ohhh, oh la la la la

Hmm, yeah

hmmm


Wote tumuombe Mungu, kwa hili janga ikibidi lipite

Tujihadhari na tujikinge,ili lisitufike

Habari kote duniani zimesambaa

Ugonjwa unaua na hauna tiba

Na wengine wetu masikini hatujiwezi

Mwenyezi Mungu kawe tiba

Watoto wetu mashule, aah

Mama zetu tu sokoni, aah

Kwenye vyombo vya usafiri makazini tujilinde

Osha mikono, aaah

Epuka mikusanyiko sio ya lazima, aaah

Na uonapo dalili

Mapema wahi hospitaliCorona

Corona, corona, coronq

Corona, corona, corona

Corona, corona, corona

Corona, corona


[.......]


'Hatua zimeshaanza kuchukuliwa

Ameshatoa tahadhari mbalimbali

Ambazo tunatakiwa kuzichukua

Napenda nirudie ndugu zangu Watanzania

Kwanza ni vizuri sana tukaendelea

Kuchukua tahadhari, kwa nguvu zote

Ugonjwa huu unaua, na unaua kwa haraka sana

Niwaombe ndugu zangu Watanzania

Tusipuuze ungonjwa huu

Tusipuuze hata kidogo

Ni lazima tuanze kuchukua hatua

Za kujikinga kwa tatizo hiliOther song(s) of Rayvanny

Trendings Lyrics

00:00 00:00