Rayvanny Tunawabuluza Lyrics, Paroles

Tunawabuluza

10 July 2020
11

Rayvanny Tunawabuluza Lyrics

Dj Kidogo dogo


Tunawabuluza, Tunawabuluza

Tunawabuluza, Ona Tunabuluza

Tunawabuluza, Tunawabuluza

Tunawabuluza, ona tunawabuluza


Ona walivyo wapole wamebaki kunong'ona

Magufuli ndio zaidi wenyewe wanaona

Wanatafuta kasoro kila mbinu zinagoma

Maendeleo uhakika namba wanaisomaStandard gauge mabara bara shwari

Zahanati shule mahospitali

Ndege mwendo kasi flyover kali

Kajali masikini mafisadi chali


Magu! Wapiga madili Anapita nao!

Wazee wa miradi feki Anapita nao!

Wakwepa kodi Anapita nao!

Wanaopenda rushwa Anapita nao!


Si tupotoka zamani anabisha nani?

Si ndo chama lao rangi ni njano kijani

Tena ni mashujaa, pole wapinzani

Magufuli kichwa jembe namba one (Ayoyoyo)


Tunawabuluza, Tunawabuluza

Tunawabuluza, Ona Tunabuluza

Tunawabuluza, Tunawabuluza

Tunawabuluza, ona tunawabuluza


Aya kelele ya kwanza kwa Magu yake (Wee)

Aya kelele ya pili kwa John yake (Wee, wee)

Aya kelele ya twatu kwa Pombe yake (Wee, wee wewe)


We mikono juu, watu shangilia

We mikono juu, weka mashati kofia

CCM mikono juu, watu shangilia

Basi weka juu, weka mashati kofia


Peperusha bendera, wee bendera

Sijaona bendera, CCM bendera

Peperusha bendera, wee bendera

Kina mama bendera, sijaona bendera


Peperusha bendera!


Aya Magufuli aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)

Mama Samia aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)

Majaliwa aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)

Mashiru aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)


Na Mangula aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)

Pole pole aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)

Kiwangwala aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)

Na Makonda aya wee (Ayaa wee, ayaa wee)


Bado watoto wao, Magu ni baba lao

CCM moto wao, tena kiboko yao

Bado watoto wao, Magu ni baba lao

CCM moto wao, tena kiboko yao


Mikono juu alafu piga makofi

Weka juu huku unapiga makofi

Mikono juu alafu piga makofi

Weka juu huku unapiga makofi


Tunaenda kushoto, wee kushoto

Twendeni kushoto, watu wote kushoto

Turudi kulia, wee kulia

Tunarudi kulia, wee kulia 


Twendeni kushoto, wee kushoto

Tunaenda kushoto, eeh kushoto

Turudi kulia, wee kulia

Kina mama kulia, wee kulia 


Kina mama vigelegele

Sijasikia vigelegele

Aya wanangu piga milusi

Sijasikia milusi


CCM Kiboko yao, CCM kabari yao

CCM Kiboko yao, CCM kabari yao

CCM Kiboko yao, CCM kabari yao

CCM Kiboko yao, CCM kabari yao


Jembe Magufuli, kiboko yao

Wee mama Samia, kabari yao

Hadi Majaliwa, Kiboko yao

Wee Mwajembe baba, kabari yao

Mbeya tulia mama, kiboko yao

Ata cha Ramila, kabari yaoOther song(s) of Rayvanny

Trendings Lyrics

00:00 00:00