Rayvanny Vumilia Lyrics, Paroles

Vumilia

09 February 2020
2.4K

Rayvanny Vumilia Lyrics

Niwe kibatarim ama mwanga wa mshumaa

Kwenye kigiza cha jioni

Pika dona ngangarii

Tulishushie na dagaa

Ukishatoka sokoni

Kisha tufunge safari

Itayo chukuwa masaa

Utokwe jasho mgongoni

Na vile nina machachari

Nikikushika kibaa

Utamu wa dicki nondoni


Kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini

Sina mbele sina nyuma masikini

Chakula shida nadona la chini niambiee

Wenye mapesa vogi na ma lamborghini

Wasije fanya ukanipiga chini

Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee

Sambusa kachorii pamia aaee

Tukipata pesa ni sangala

Mchicha mtori pamia aaee

Kama tukikosa tunalala

Kwa hiyo mama usijali Vumilia iyeeee

Vuumilia iye iye

Vumilia

Kesho tutapata mapenzi

Vumilia

Vuumilia

Vumilia

Vumilia

Kesho tutapata mapenzi


Najuwa unatamani mama high waist

Make up weaving za dubai na china

Ule pamba nyepesi setaaar

Chain ya dhahabu yenye jinnaa

Oooooh, basi mama vumilia

Nakupigania mpenzzzzi subiria

Oooooh, acha kujiinamia

punguza kulia tatusaidi

Ati mapenzi si moyo

Mapenzi ni pesa

Kama kweli masikini yatatutesa

Uchoyo usinipe pressure

Naomba unipendeeKuna muda nawaza, hivi nitakupa nini

Sina mbele sina nyuma masikini

Chakula shida nadona la chini niambiee

Wenye mapesa vogi na ma lamborghini

Wasije fanya ukanipiga chini

Bado nawaza hivi nitakupa nini utuliee

Sambusa kachorii pamia aaee

Tukipata pesa ni sangala

Mchicha mtori pamia aaee

Kama tukikosa tunalala

Kwa hiyo mama usijali Vumilia iyeeee

Vuumilia iye iye

Vumilia

Kesho tutapata mapenzi

Vumilia

Vuumilia

Vumilia

Vumilia

Kesho tutapata mapenzi


Other song(s) of Rayvanny

Trendings Lyrics

00:00 00:00