Tommy Flavour Omukwano Lyrics, Paroles

Omukwano

17 April 2020
123

Tommy Flavour Omukwano Lyrics

Hivi umeshushwa maana uko bie bomba

Na nimesitushwa na utamu peremende, blown out

Mapenzi kikubwa unayonimwagia 

Ni raha sana mama mama


Na leo nikifa nibaki jirudia

Ni take over, ni take over

Your mind eeh


Unanipress, unanipa raha no stress

Kukuvesha shenga sogezi

Tuombe Mungu ablessBeiby you are princess

Nikoshe smile on your face

Na tuombe kwa Mungu

Nizikwe na wewe daima


Omukwano o, naenjoy (Aaah aah aaah)

Penzi lako niko hoi (Aaah aah aaah)

Omukwano o, naenjoy (Aaah aah aaah)

Penzi lako niko hoi (Aaah aah aaah)


Omukwano oo, omukwamo o

Omukwano oo, omukwamo o


Mzima mzima kama chatu nimeze beiby

Nichange kama pesa ya patu nimake make

Oo sinyora (Sinyora ee)

Nitakuoa, nitakuoa


Usijali vile vimaskatu we uko na mimi

Oooh 

Unanipress, unanipa raha no stress

Kukuvesha shenga sogezi

Tuombe Mungu abless


Beiby you are princess

Nikoshe smile on your face

Na tuombe kwa Mungu

Nizikwe na wewe daima


Omukwano o, naenjoy (Aaah aah aaah)

Penzi lako niko hoi (Aaah aah aaah)

Omukwano o, naenjoy (Aaah aah aaah)

Penzi lako niko hoi (Aaah aah aaah)


Omukwano oo, omukwamo o

Omukwano oo, omukwamo o


Nitakupenda nitakulinda, mi nawe

Ooh my baby mimi nawe

Cause I got you 


Nitakupenda nitakulinda, mi nawe

O my mama mama mama iyeee


Other song(s) of Tommy Flavour

Trendings Lyrics

00:00 00:00