Tommy Flavour The One  Lyrics, Paroles

The One

14 September 2020
9

Tommy Flavour The One Lyrics

Oh na na na, Oh na na na

Ukisikia mapenzi

Ndio hayaa ( ndio hayaaa)

A kuchi kuchi mo fayaaa

Ukiniridhia guvi guvi, Gadana


Hata moyo wangu

Ubure nitaugawaa kwako

Na kama uzuri unaaooo

Wanoeshee ieeeh

Baby Waoneshee ooh Ayaaah (waoneshee)

Na tabia unaayo waoneshee oohoo

Tepe tepe kwako nishalowa

Kwenye shimo umenitoa

Sexy mama nimeupoaaa


Oh girl you’re the one eeh

You’re the one eeh

Love me double double

Double double

Usiende kama wale

Kamaa wale eeh

Love me double double, double doubleNachanganyikiwa yako sauti

Nishakufaga kwako mauti

Nakupigiaga saluti

Cause you’re one and only

Vigelegele mama shawti

Binti yako ntaoa sirukii

Wanna feel isasi urukii

Ila ndo imeisha ioo

Oooh


Na kama uzuri unaoo wananoshee iye

Baby waoneshee ooh (waoneshee ooh waaa aah)

Na tabiaa unayo waoneshee iyee

Without no question question

Tepe tepe kwako nishalowa

Kwenye shimo umenitoa

Sexy mama nimeupoaaa


Oh girl you’re the one eeh

You’re the one eeh

Love me double double

Double double

Usiende kama wale

Kamaa wale eeh

Love me double double, double double


Other song(s) of Tommy Flavour

Trendings Lyrics

00:00 00:00