Zuchu Ashua Lyrics, Paroles

Ashua

13 April 2020
1.1K

Zuchu Ashua Lyrics

Aaah aah, naa aaah ooh

Mocco


Marahaba, marahaba habibi

Dunda kwa mama ngala kupachua

Oooh, mahaba, mahaba yamzidi

Kindi muchanga chaku chachua


Mmmh, tamu zaituni, tunda la peponi nalila (Nalila)

Game ya sakafuni, tunadundisha na kipira (Kipira)

Napewa penzi sabuni, linalonitakasa madhira

Huniita hunny hayuni, mkali wa tatu bila (Bila)Upepo wa pwani, umenipeleka bara

Niongoze usukani kwenye penzi barabara


Wakati wako tamba

Ashua he, ashua ashu, ashua

Okey beiby jishongondoe

Ashua he, ashua ashu he, ashua

Na roho zao ziwaume

Ashua ashua ashu ashua

Lololo lolololo

Ashua he, ashua ashu he, ashua

Tuwachome mapaka shume


Ooooh ooh ooh ooh ooh

Kweli, mambo mazuri, hayataki haraka ooh, haraka ooh mmh


Kwa dua nimesubiri, nimepewa nilichotaka ooh, nilichotaka oooh mmh

Penzi linaninogesha (Noga)

Nampa mchicha ale (Noga)

Vinono vya kunenepesha (Noga)

Sambusa ya nyama tele (Noga)

Kisha namchangamsha (Noga)

Namchezea segere (Noga)

Mwali kujineng'emsha (Noga)

Huku napiga kelele (Aaah aah aah)


Upepo wa pwani, umenipeleka bara

Wewe wangu usukani, kwenye penzi barabara


Wakati wako tamba

Ashua he, ashua ashu, ashua

Okey beiby jishongondoe

Ashua he, ashua ashu he, ashua

Na roho zao ziwaume

Ashua ashua ashu ashua

Lololo lolololo

Ashua he, ashua ashu he, ashua


Wakikuuliza mbona huonekani

Tunacheza solo na zumari ndani

Kuingiza kete shimoni

Tunacheza solo na zumari ndani


Makopa kopa kwa malavidavi

Tunacheza solo na zumari ndani

Michezo ya karata kulambishwa mavi

Tunacheza solo na zumari ndaniOther song(s) of Zuchu

Trendings Lyrics

00:00 00:00