Zuchu Litawachoma Lyrics, Paroles

Litawachoma

13 September 2020
53

Zuchu Litawachoma Lyrics

Habibi lauzi kipenzi changu cha ngama

Mimi na wewe hadi milele

Komesha wachokozi wabaki kututazama

Tuwatoe jasho la nywele


Haa nimesikia habari 

Eti kuna mtu twamkera

Oooh mwana akae tayari 

Maana bado movie hili litaenda


Na usiku nikumbate (Ni tete te)

Ooh my babe boo (Ni tete te)

Kwa ghetto ning'ate ng'ate (Ni tete te)

You know I love you Nikizidi ugomvi unichape (Ni tete te)

Silaha rungu (Ni tete te)

Kwenye joto nipepee (Ni tete te)

Mwendani wangu


Penzi letu kwao fire 

Litawachoma sana

Mmmh!Litawauma

Litawachoma sana


Eh kwa roho mbaya zenu

Litawachoma sana

Oooh na hatuwachani

Litawachoma sana


[Diamond Platnumz]

Mmhhm Ada! Kinachotaka sasa nafsi

Huba si sabuni

Kwangu usiwe na wasi 

Nishaacha uhuni


Ada! Kama moyo jiko basi

We ndo wangu kuni

Mapenzi soccer

Nipe pasi nitie nyavuni


China wasikutishe

Kwa jumbe zao za kata (Kata)

Mi ndio kamati kuu

Hapa jimbo umepata (Pata)


Maftani tashtiti 

Na baby unayajua

Siwezi fanya ya Shishi

Uchebe kukubutua


Waambie na ibilisi

Watu wanajisumbua 

Ufupa kashindwa fisi

Wao paka utawaua


Dodo dodo

Nimeokota dodo na mjani wake

Nimeokota dodo

Litayemkera ni shauri zake


Simba nimelipata dodo

Nimeokota dodo na mjani wake

Oh mi mwenzenu toro

Litayemkera ni shauri zake


Na litawachoma

Litawachoma sana

Mmmh!Litawauma

Litawachoma sana


Eh kwa roho mbaya zenu

Litawachoma sana

Oooh na hatuwachani

Litawachoma sana


Asa baby nichezeshe ngondo

Ngondo, ngondoi kwako

Ah tulicheze ngondo

Ngondo, ngondoi kwako


Eh timbwili timbwili tutimbwilike

Ngondo, ngondoi kwako

Oooh mpaka kupambazuke

Ngondo, ngondoi kwako


Ai Ngondo!


(Ayolizer)


Other song(s) of Zuchu

Trendings Lyrics

00:00 00:00