Alikiba Infidèle

Infidèle

:   Alikiba

:   18 Jan 2021

Alikiba Infidèle paroles


Ilibidi tu nijiongeze

Niliisha

Ee bora nijipongeze 

Naona yamekwisha


Akili uliniweza maskini

Uliniweza mie ukanijua

Nilipungua sana bwana 

Ila tu unanicheka


Ukatawala moyo 

Ukachukua bila aibu ukanitesa
Kumbe ni liar unaweza niacha mi niuliwe

Na mabwana zako wewe 

Kumbe ni liar unaweza niacha mi niuliwe

Na mabwana zako


Bora nikuache we uende, nami niende

Tusiishi kizembe, niache mawenge

Bora uende, nami niende

Tusiishi kizembe, niache mawenge ah ah


--------

-------


Kumbe ni liar unaweza niacha mi niuliwe

Na mabwana zako wewe 

Kumbe ni liar unaweza niacha mi niuliwe

Na mabwana zako


Bora nikuache we uende, nami niende

Tusiishi kizembe, niache mawenge

Bora uende, nami niende

Tusiishi kizembe, niache mawenge ah ah