Alikiba Mediocre

Mediocre

Artiste : Alikiba

Sortie le : 24 Sep 2020

Alikiba Mediocre paroles

Yeaaaaaah

Ooolalah

Como estas


You call me Kibaka, They call me King Kiba

Baba Keyaan, Toto la Mama Kiba

Njaa mi nashiba, unaishi kwa kuniiga, And I’m Alright

Ushamba mwiko kwa mtoto wa Kariakoosi

Chezi na dada zangu, nacheza na dada ako

Mixer mkong’oto

We unauza siso, mi ndio bishooo

Iga na ku-stop uone, huchuliziki hata tone

Mi nafanya wimbo, we unafanya skendo, uonekaneee


Marekani Nishatimba, Ulaya yote nishatamba

Tena Unatukana, unakuja unajigamba

Unajiona mjanja unatamba sana

Mediocre …..yeaaaahMediocre, speed ya mediocre, mediocre yeaaaah

Mediocre Mediocre Mediocre

Mediocre Mediocre Mediocre


Yeaaaaah yeeeiyeee, pluu mpaka chini -PIGO

Unataka U-King na Mafundo

Mimi ndio BABA… King-dom…. Kingdom

Tena mnajishow, huyu Komandoo

Stage mafundo, wachafu wa roho, waongeza zero

Kwashungu NO, kwashungu NO, no no

My people… No no, como stas

Yo I have been in the game for 18 years

I’m still around, still ON TOP

Gyaldem SugarMarekani Nishatimba, Ulaya yote nishatamba

Tena Unatukana, unakuja unajigamba

Unajiona mjanja unatamba sana

Mediocre …..yeaaaah


Mediocre, speed ya mediocre, mediocre yeaaaah

Mediocre Mediocre Mediocre

Mediocre Mediocre Mediocre