Aslay Kilangakomo

Kilangakomo

Artiste : Aslay

Sortie le : 11 May 2020

Aslay Kilangakomo paroles

Ah ya, ah ya

Ouh, ouuuh

ouh, ooooh


Uvivu wa kuchagua nimeula wa chuya

Nilichagua sura, wala sikujali tabia ah

Na kubwa kupungua ndipo kanijia

Mateso yake, kutwa namfikiria

Kumbe nimeuziwa mbuzi kwa gunia

Kwenye cover burger, ndani nilikuta bajia hmm


Mbona nampenda sana

Ninamlinda sana

Ananitesa jama, mama

Nahisi amechanganya, moyo unagandama

Nataka kula nyama, nyama

Oh laini anatoka sasa bar

Simu ukipiga inatumika

Message anazionaga

Dhiki za blueblue zimejaa anazipitagaKilangakomo (hmmm), kilangakomo mwana mie

Salamu kalonga kilangakomo

Nafumba promo (hmmm), naweka mdomo itulie

(itulie itulie itulie)

Kilangakomo (hmmm), kilangakomo mwana mie

Salamu kalonga kilangakomo

Nafumba promo (hmmm), naweka mdomo itulie  hmmm


Nishaga kumbana na pazi na kazi nikakosa

Baada ya kufuma message nikamiss kutomaswa

Nishagombanaga naye ni fundi wa msasa

Kapiga msasa bedi na penzi akala kabisa

Sa nikupe nini wewe malkia

Utulie kama nilivyotulia

Unataka nife siku hazijafikia

Hicho labda ndicho unasubiria hmmmMbona nampenda sana

Ninamlinda sana

Ananitesa jama, mama

Nahisi amechanganya, moyo unagandama

Nataka kula nyama, nyama

Oh laini anatoka sasa bar

Simu ukipiga inatumika

Message anazionaga

Dhiki za blueblue zimejaa anazipitaga


Kilangakomo (hmmm), kilangakomo mwana mie

Salamu kalonga kilangakomo

Nafumba promo (hmmm), naweka mdomo itulie

(itulie itulie itulie)

Kilangakomo (hmmm), kilangakomo mwana mie

Salamu kalonga kilangakomo

Nafumba promo (hmmm), naweka mdomo itulie  hmmm