Aslay Magufuli Wambie lyrics, proles

Magufuli Wambie

Artiste : Aslay

Sortie le : 22 Jul 2020

Aslay Magufuli Wambie paroles

Wanajisumbua

Wanashindana na moto si wa wataungua

Magu tunajivunia

Kwa uwepo wako tunatawala dunia


Mmmh wanakusifia

Wakiwa chooni nnje wanakukandia

Magu tunakuelewa

Ndio maana mpaka nyimbo tunakuimbia baba


Magufuli beba, beba nchi baba

Ikiwezekana beba mara mia saba

Beba hatutokumwaga

Katiba iruhusu tukupe moja kwa moja Rais


Umejenga barabara za magorofa

Wazanamo jiji letu lawaka waka

Sina budi mtaani wangu kukupa sifa

Maana pahali pazuri umetufikisha


Wanalewa wanavunjika miguu

Ukiwapa nchi siwatatuua duu

Watu gani hawajui wema wa mtu

Wanataka watuweke sisi roho juu, baadae


Oooh! Wapinzani hatuwapi kura zetu

Wanyonge na wale vikosi eeh

Tupo sawa Tanzania kama kambale 

Tanzania tunakwenda kimbele mbele

Tumezisahau zile enzi za kale


Ooh CCM chama 

Inanipa raha mwenzenu

Naskia raha nipo chama tawala

Wapinzani wananuna


Magufuli waambie

Wakitaka wasitake CCM Chama chao

Mama Samia mama waambie 

Wakitaka wasitake CCM Chama chao

Jakaya Kikwete waambie 

Wakitaka wasitake CCM Chama chao

Mzee Mkapa, Mzee Mwinyi waambie

Wakitaka wasitake CCM Chama chao


Kaka sio juhudi zako Magufuli

Ile mindege tungepata wapi?

Kaka sio juhudi zako Magufuli

Standard gauge tungepata wapi?


Wapinzani wanapanda mwendo kasi

Na Air Tanzania

Na magari yao wanatamba kwa barabara

Ulizo tujengea


Wanadiss wanafanya hawataki

Kukufagilia

Ila tuliokuchagua 

Tunakupenda tunakufagilia, Magufuli


Ooh CCM chama 

Inanipa raha mwenzenu

Naskia raha nipo chama tawala

Wapinzani wananuna


Wajumbe (CCM), Madiwani (CCM)

Wabunge (CCM), Rais (CCM) 

Hatuwachi kitu, oOoh wapinzani 

Hatuwapi kura zetu kamwe


Doctor Sheddy waambie 

Wakitaka wasitake CCM Chama chao

Kassim Majaliwa waambie

Wakitaka wasitake CCM Chama chao

Philip Mangula

Wakitaka wasitake CCM Chama chao

Dr Bashiru Ali

Wakitaka wasitake CCM Chama chao


Kaka Heri James

Wakitaka wasitake CCM Chama chao

Mama Maria Nyerere

Wakitaka wasitake CCM Chama chao

Mama Fatuma Karume 

Wakitaka wasitake CCM Chama chao

Tanzania yote, yote

Wakitaka wasitake CCM Chama chao


Kaka yangu Polepole

Kiseme chama chetu kakaAutres paroles de Aslay

Vous aimerez peut-être ces chansons

0.0137