Diamond Platnumz Simba paroles

Oooh waiteee...

Kumekucha jamaa

Nishafanya yake mnyama

Oooh kumekucha jamaa

Nishafanya ya


Aga waambie simba

Simba kiboko yao

Waambie wekundu wa msimbazi

Simba kiboko yao


Oooh taifa kubwa

Simba kiboko yao

Oooh this is simba

Simba kiboko yaoOna Manara anacheza

Anashangilia ushindi umekuja

Moh anaruka ruka

Anashangilia ushindi umekuja


Yule dada anakata

Anashangilia ushindi umekuja


Wahuni wanaruka ruka

Anashangilia ushindi umekujaNa tutamfunga yeyote atakaye kaa mbele

Si wanawashwa tutawakuna upele

Chenga na pasi ndio zetu kama mbele

Oooh magoli mashuti kama Pele


Wataweza wapi jamaa? Wakwende zao

Kushindana na mnyama, Wakwende zao

Oooh wataweza wapi jamaa?

Kushindana na msimanzi


Diamond Platnumz Simba, lyrics, paroles

Diamond Platnumz Simba