
Alikiba UTU Lyrics
[VERSE 1]
You sweet like a pipi mama
I can fight I can keel someone for you
Because I’m in a danger zone, oh no
This feeling feeling that am feeling
Is too much
I see future
Life with you is so brighter
Nakupenda sana you know that
I will die for you
Oooh sweetheart
Life with you is so sweeter
Nakupenda sana you know that
Nakupenda sana you know that yeah
Na hakuna kipya kwenye dunia
oh my love
We ndo maana tamaa nazizuia
oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
in this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
[CHORUS]
Na umebarikiwa utu na utulivu
Umebarikiwa utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa utu na utulivu
[VERSE 2]
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu hukumu, zilishanikumba
Kwa mateso ya kung’ang’ania kupenda usipopendwa
Nilifosi kujificha kule
kumbe chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huko mabegani ananishika na hapa
Massage mgongoni yananilevya makopa
[HOOK]
Na hakuna kipya kwenye dunia
oh my love
We ndo maana tamaa nazizuia
oh my love
Natupa maelfu kwa mamia
in this world
Ila we pekee nimekuchagua
I swear to God
[CHORUS]
Na umebarikiwa utu na utulivu
Umebarikiwa utu na utulivu
Licha ya upole na uzuri
Una utu na utulivu
Umebarikiwa utu na utulivu
[OUTRO]
Aah namwona yeye
analia lia anapokuwa
Aah namwona yeye
akiniacha ananiombea dua
Aah namwona yeye
analia lia anapokuwa
Aah namwona yeye
akiniacha ananiombea dua