Baba Levo Shusha lyric

Shusha

Baba Levo Baba Levo
28 January 2021
6

Baba Levo Shusha Lyrics

Ni salama angamizo

Pisha maana matatizo

(It’s S2kizzy beiby)

Nawashusha, shusha shusha

Nawashusha, shusha

Nawashusha, shusha shusha


Nawashusha, shusha

Wapo top 10, shusha shusha

Wapo on trend, shusha

Wapo top 10, shusha shusha

Wapo on trend, shusha

Nawashusha, shusha shusha

Nawashusha, shusha

Ona nawashusha, shusha shusha

Nawashusha, shusha


Wakati bado makinda

(Shusha shusha)

Mi maji wao tope

(Shusha shusha)


Miye maji

Wawo moto

Wa wulize wame

Sikiya

Panya kula paka

Nasema wamesikiya


Kibogoyo

Akangata

Wambie chocho

(Hili chocho watu hawapitagi)

Eeeh wambie chocho

(Sema vyoko tulianzishe vagi)


Nawashusha (Shusha shusha)

Nawashusha (Shusha…)

Nawashusha (Shusha shusha)

Nawashusha (Shusha…)


 

Wapo top 10 (Shusha shusha)

Wapo on trend (Shusha…)

Wapo top 10 (Shusha shusha)

Wapo on trend


Nawashusha (Shusha shusha)

Nawashusha (Shusha…)

Ona Nawashusha (Shusha shusha)

Nawashusha (Shusha…)


Tumewapa nafasi kidogo

Wameanza kuleta dharau (Shusha…)

Wameshika Vicent Kidogo

Wanakandia mpaka wadau (Shusha…)

Wamejisahau (Shusha…)

Wanaleta dharau (Shusha…)

Mi napiga Collabo na simba

Wewe kapige na nyau (Shusha shusha)


 

Nazidi kushusha mangoma

Mpaka waseme (Baba ni noma)

Nabado nitawapa homa

Mpaka wasema (tumeshakoma)

Maneno yanavyowachoma

Mpaka waseme (Rudi Kigoma)

Na wameshameza ndoano

Mpaka watema…shusha


Nawashusha (Shusha shusha)

Nawashusha (Shusha…)

Nawashusha (Shusha shusha)

Nawashusha (Shusha…)


Wapo top 10 (Shusha shusha)

Wapo on trend (Shusha…)

Wapo top 10 (Shusha shusha)

Wapo on trend


 

Nawashusha (Shusha shusha)

Nawashusha (Shusha…)

Ona Nawashusha (Shusha shusha)

Nawashusha (Shusha…)


Wanaporomoko

Mmoja mmoja chali chini

Wanadondoka

Mmoja mmoja chali chini


Chapaa chapaa (Chapa)

Sasa chapa (Chapa)

Tia bakora (Chapa)

Hawana adabu (Chapa)


Chapaa chapaa (Chapa)

Wanangu chapa (Chapa)

Tembeza mboko (Chapa)

Hawana adabu (Chapa)
Comments

Other song(s) of Baba Levo

Baba Levo

You may also like these lyrics