Barnaba Mzuri lyric

Mzuri

Barnaba Barnaba
08 September 2022
2

Barnaba Mzuri Lyrics

[INTRO]
Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama unavyoringa sasa sio shida zako hizo
Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri Ata ukilia mzuri ni mzuri tu

[VERSE 1]
Rangi ya chungwa mama chocolate viuno tanga manzabay
Lakipitlosi mama ona nywele shombe shombe Zanzibari chei chei
Umejaliwa nyama na huo mguu Aki Mungu hakosei
Mpaka nikuoe ndo ntafanya usiwe na wasi mama wala mi sikuchezei
Najionea wivu kukupata my boo, tabibu dozi nipe taratibu

[CHORUS]
Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri Ata ukilia mzuri ni mzuri tu

[VERSE 2]
Usuke sangitaa unapendeza hana haraka mtoto mwendo wa pweza
Yake mahaba ndio kaniweza kama chakula sahani ya pili naongeza
Walahi kwake naona nyota nyota tu si kwa mahaba unayonipa boo
Na huu wangu wivu utanikuta yasiyo niombeeni nipone
Ananivuruga pale anaponiuliza vipi uhakika mopao unajionaje
namjibu niko sawa kisha namwambia nipigie video call
Najionea wivu kukupata we my boo, tabibu, dozi nipe taratibu

[CHORUS]
Uh! ai mama Jamani mbona we mzuri hivyo
Uh! ai mama nakusifia ringa vimba kichwa ka pulizo
Ukicheka mzuri mzuri ukinuna mzuri mzuri
Ukiringa mzuri mzuri ata ukilia mzuri ni mzuri tu

[OUTRO]
Ule kimini chuna tototo unafanya nishindwe kutoto
umetakata uko sososo unawatesa cheki tototo
Mara uko nyonyo uko titi ata Saraphina anajua hushikiki
Eh! Serious nimempenda nasema na simuachi aaah!
Comments

Other song(s) of Barnaba

You may also like these lyrics

00:00 00:00