Darassa Mind Your Business lyric

Mind Your Business

Darassa Darassa
15 March 2023
1.5K

Darassa Mind Your Business Lyrics

Ladies and Gentle Men

Brothers and Sisters 

It is a brand new song

 

Oooooooo

 

Ukiwin DAres Salama kuishi Cv

Fish anakula Fish Life of the Sea

You gotta look for the key 

Nothing is free

Jiji halijakaa kaa ki Mapenzi Mr Tee

Nilipotea Sinza Mitaa ya Ndani Ndani

Nikaomba Wasamalia Wema nipate Ramani

Aunt Aunt Samahani !!!

Kwani We una Bei Gani ?

Aah Mini Mgeni nikikua naulizia hii njia ineada Kanisani

Si ndo nakutana na Shabani Namjua

Namsalimia Shebby ? Anauchubua

Shebby ? Anasuasua

Au I'm not sure ??? !

Kumbe Huku Anakwenda kama Pastor Joshua




Comments

Other song(s) of Darassa

You may also like these lyrics

00:00 00:00