Si ko ko ko si kanda mbili yani vyote
Haviku pendezi kuwa na ngoko
Usio nawiri tope niutelezi
Utaishia kututabiri
Tubomoke ina songa miezi
Mola amesha taka dhiri usijichoshe
Halivunjiki penzi
Ona umekosa nuru umekosa baati huna
Unaitwa kunguru ukifika wananuna
Ndo ndo ndo mwana chururu
Asiye mbuzi wataka chuna
Mengine nisi kufuru mmh
Hazikukai maskala wala make up
Zina kushuka uso ume ku parara
[?] zimetenguka uso sauti yastara
Kwa kudeka una weuka
Jibwa kwako la mbagala
Lina bweka na kubwetuka wala
Wala hunisumbui wala
Wala hunisumbui wala
Wala hunisumbui wala
Waaaala hunisumbui wala
Naizo post mara kubebana mara
Linakusuta mbele za watu
Unapo nitukana siogopi mashushu
Me wala michambo
Kutwa kwa ma page fake
Kama lokole lina husu
Mkwe akutake eti mwenzangu mbona kuntu
Vi message kujitumisha kwa ndugu zangu marufuku
Nyota ime kufupika usi force umaarufu
Upepo wa kisuli suli
Unakuchukuwa yani sali
Tanga ni pole pole
Wanakununua kwa mizani
Kwangu pame shughuri