Diamond Platnumz Magufuli Baba Lao lyric

Magufuli Baba Lao

Diamond Platnumz Diamond Platnumz
05 July 2020
29

Diamond Platnumz Magufuli Baba Lao Lyrics

Magufuli baba lao (Baba lao)

Joseph baba lao (Baba lao)

John Pombe baba lao (Baba lao)

Magu baba lao (Baba lao)


Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao)

Majaliwa baba lao (Baba lao)

Bashiru baba lao (Baba lao)

CCM chama lao


Kona kwa kona, chocho tuchocho

Kwa wakubwa mpaka watoto

Magu anazidi pamba moto

Wapinzani matumbo joto

Mmechoka eti? (Aaah wapi)

Mnataka lala? (Aaah wapi)


Wapinznai watatuzidi? (Aaah wapi)

Wataweza huu muziki? (Aaah wapi)

Sasa twende kisa mjini sambamba

Magu anazidi bamba 

Anafufua na viwanda

Ndege zetu tunapanda


Wataweza kweli? (Aaah wapi)

Kushindana nasi (Aaah wapi)

Hata wakiungana (Aaah wapi)

Matusi kututukana (Aaah wapi)


Magufuli baba lao (Baba lao)

Joseph baba lao (Baba lao)

John Pombe baba lao (Baba lao)

Magu baba lao (Baba lao)


Eeeh Ma Samia mama lao (Mama lao)

Olepole baba lao (Baba lao)

Mzee Mangula baba lao (Baba lao)

CCM chama lao


Majib Selema

Hadija Selema (Selema)

Wananchi wamesema 

Tunashinda tena (Eeh tena)

Wanadhani kura mseleleko

Eeeh tunawakwepa

Watabaki masononeko

Eeeh tunawacheka


Kwanza kunja gaju (Eeh kunja gaju)

Nikupe mikakati (Eeh mikakati)

Ameleta mwendo kasi

Barabara juu na kati

Eeh shule za kata (Ni bure)

Sekondari (Ni bure)

Hospitali (Ni bure)

Kwa wazee (Ni bure)


Sisi twashinda tena

Sisi CCM twashinda tena eeh

Magu anashinda tena

Magu Magu anashinda tena eeh

Samia anashinda tena

Mama Samia anashinda tena

Sisi twashinda tena

Sisi CCM twashinda tena eeh


Magufuli baba lao (Baba lao)

Joseph baba lao (Baba lao)

John Pombe baba lao (Baba lao)

Magu baba lao (Baba lao)

Eeeh Makonda baba lao (Mama lao)

Eri James baba lao (Baba lao)

Juma Mabogi baba lao (Baba lao)

CCM chama lao


Mzuka ukipanda 

Na hili shati navua (Acha uongo)

Mzuka ukipanda

Na hili bukta navua(Acha uongo)

Jamani navua (Acha uongo)

Mama navua (Acha uongo)

Mwenzenu navua (Acha uongo)


Eeeh kuna BASATA!

Basi napiga Yope (Huwezi)

Oooh napiga Yope (Huwezi)

Magu napiga Yope (Huwezi)

Ma Samia napiga Yope (Huwezi)


Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh!

Eh! Eh! Eh! Eh Eh... Eeeh! 


Wabunge napiga Yope (Huwezi)

Madiwani napiga Yope (Huwezi)

Wajumbe napiga Yope (Huwezi)

Wenyekiti napiga Yope (Huwezi)


Eeh! Eeh! Eeeh! Eeeh!..Eeeeeh!

Eh! Eh! Eh! Eh Eh... Eeeh! 
Comments

Other song(s) of Diamond Platnumz

Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz

You may also like these lyrics

00:00 00:00