Diamond Platnumz Nikuone Lyrics

Wasafi...


[VERSE 1]

Hummmm mangapi niliona

Wala sikujali nikafumba macho hummmm

Na tena yaliyonchoma

Maumivu makali manyanyaso Hummmm

Si mzima wa nafsi

Siwezi kudanganya

Uwepo wako unanifanya nalia

Fanya urudi basi japo kuntazama

Oh me mwenzako ukweli naumia

Kinachiniongeza kizunguzungu

Hata huniwazi

Kutwa nakesha nikimuomba Mungu

Wallah simanzi

Kinachoniongeza mawazo

Hata huniwazi

Kutwa nakesha nikilalamika

Njoo basi nikuone


                            

[CHORUS]

(Nikuone)

Nikuone (Nikuone)

Nikuone (nukuone)

Nikuone mama, ukowapi nikuone (Nikuone)

Nikuone (Nikuone)

Japo nipone (Nikuone)

Nikuone Ooh na roho yangu inaenda

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Aah roho yangu

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Nimekukumbuka sana oh

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Mwenzio roho yangu

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Hata silali


[VERSE 2]

Kutwa nzima nawaza kisa nini darling

Kama sikukupa raha bado sijajua

Namaliza naianza nijapo tafakari

Njoo uniwashie taa kiza kitaniua

Muda mwingine nakesha tuu macho

Usingizi sina

Ikinijiaga tu sura yako huwa nazizizma

Mpaka nashikwa kigagaziko hata maneno kuyaongea

Yote sababu ya masikitiko haki ya Mungu unanionea

Kinachiniongeza kizunguzungu hata huniwazi

Kutwa nakesha nikimuomba Mungu wallah simanzi

Kinachoniongeza mawazo hata huniwazi

Kutwa nakesha nikilalamika njoo basi nikuone


[CHORUS]

(Nikuone)

Nikuone (Nikuone)

Njoo basi Nikuone (Nikuone)

Nikuone mama ukowapi nikuone(Nikuone)

Nikuone (Nikuone)

Eeh Eeh eh nipone (Nikuone)

Nikuone Ooh na roho yangu inaenda

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Aah roho yangu

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Nimekukumbuka sana ooh!

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Hummm me Mwenzio roho yangu

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Hata silali


Niliyoyasikia ya leo (Makubwa)

Afadhali ya jana (Makubwa)

Huwaga naona kwa video (Makubwa)

Aaah Ah! Ni mazito mama

Niliyoyasikia ya leo (Makubwa)

Afadhali ya jana (Makubwa)

Huwaga naona kwa video

Ooh na roho yangu inaenda

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Nimekukumbuka sana ooh!

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Hhhm me Mwenzio roho yangu

(Manjegere Manjegere Manjegere)

Eeeeeh... Hata silali


(iyoo lizer)

Other song(s) of Diamond Platnumz

Trendings Lyrics

00:00 00:00