Diamond Platnumz Ramadhan lyric

Ramadhan

Diamond Platnumz Diamond Platnumz
:
04 April 2022
59

Diamond Platnumz Ramadhan Lyrics

Ramadhani Ramadhani Ramadhani
Ramadhani Ramadhani Ramadhani

[Diamondplatnumz]
Faraja faraja mwezi umefika tena
Tulomngoja kaja tuzichume neema
Mola nijalie na mi hisani (Amiin)
Na sadaka nizijali (Amiini)
Nipe rizki za halali (Amiin)
Karimaaaaa
Niwezeshe pia futari (Amiin)
Kwa wenzangu wasio na hali
Oooh yarabi tafadhali (Amiin)
Karimaaaaa
Ooh mi mwanadam sijakamilika na madhaifu
Na pia unafahamu
Tunaishi kwenye dunia ya majaribu Allah
Nilindie iman Mola imani mola
Funga yangu iwe salama
Funga yangu iwe salama

Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan


[Mbosso]
Yaaah aaaah
Yaaaaaaah aaaaaaaaah
Alhamdulillah Alhamdulillah
Umenipa pumzi
Nimeuona tenaa
Wallah furaha wallah furaha
Nipo tayari mvuvi kuvua neema
Yarabi nafsi yangu
Roho yangu ijaze imani
Nirindie funga yangu ibada yangu
Na mingi mitihani
Mwezi ulo mwema uja kwetu waumini
Funga ni imara afya kwetu mwilini
Ni vyema kutolala kumi la mwisho
Kesha msikitini
Tupate na maghfira kwa mola manani
Nilindie iman mola iman mola
Imanii funga yangu iwe salama
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Yaah Ramadhan
Ricardomomo:
Enyi waja wenzangu tulojidhurumu nafsi zetu
Tusikate tamaa na rehma za mwenyezi Mungu
Hakika mwenyezi mungu
Usamehe dhambi zote
Yeye ni mwenye kusamehe
Na mwenye kurehemu
Aswahumu lii
Funga ni yake yeye
Waanaajizib
Na yeye ndie anaelipa
Comments

Other song(s) of Diamond Platnumz

Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz
Diamond Platnumz

You may also like these lyrics

00:00 00:00