Diamond Platnumz Waah! lyric

Waah!

Diamond Platnumz Diamond Platnumz
27 November 2020
814
0
0

Diamond Platnumz Waah! Lyrics

Anachukua anaweka waah!

Anachukua anaweka waah!

Anachukua anaweka waah!

Anachukua anaweka waah!

Anachukua anaweka waah!


Taaamu kupendwa nae taaamu nasikiaa

Taaamu kupendwa nawe

Taaamu kupendwa nawe

Taaamu hu hu

Taaamu kupendwa nawe

Kwa maneno maneno Tumeyazoea

Vijineno neno tushazoeaa

Mupenzi wangu mubayaa

Kwani inawahusu

Shepu yake mbaya hivi inawahusu?

Mdangaji malayaa

Wao inawahusu nini wamegusa pabayaa na mwaka huu

Lazima wachuchu mae


Wameingia cha kike, cha kike

Wameingia cha kike, cha, cha, cha kike

Wameingia cha kike, (kwa penzi letu) cha kike

Lazima wachuchumae (Wameingia cha kike)

Kwa penzi letu (cha, cha, cha kike)


.......


Chumbani hennessy

Hunipati ata kwa nanga humu

Kwa chenga za Messi

Na mashuti ya Ronaldo

Yani, ndani nikingia tu


Anachukua anaweka waah!

Anachukua anaweka waah!

Iwé jikoni au Valanda

Anachukua anaweka waah!

Dozé dozé, dozé dozé

Anachukua anaweka waah!

Yani kwenye salama joto

Anachukua anaweka waah!


.......


Weh, usiniguse usini-touch tusalimiane kwa miguu

Usiniguse usini-touch tusalimiane kwa miguu

Onasema usiniguse usini-touch tusalimiane kwa miguu

Usiniguse usini-touch tusalimiane kwa miguu

[?]

Corona, corona

Corona, corona

Mwezako naogopa

Corona, corona

Corona, corona

Corona, corona

Corona, coronaMikon yako koshaa (Corona, corona)

Corona, corona

Corona, corona


Comments

00:00 00:00