Femi One  STAKI lyric

STAKI

Femi One Femi One
27 February 2023
25
0
0

Femi One STAKI Lyrics

Yeah
Yoh hii click ni ya anati (skrr skrr) haunipati
Walaki haki unaeza dhani ni illuminati
Wapi ? Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki  
Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki  
Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki  (sitaki na sitaki)
Wapi ? Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki
Manabuoni fire sitaki na sitaki na manabuoni fire

Aah ambia boy fisi simtaki hiyo time akupee soda
My bro anareverse kwa mabaki yeye calls kureverse kila saa
Femi One among the aunty
Niwashao manzi ni wa raha (ni wa raha)
Dikini kwa muraa ni party
Sina time ya kuringa na manga'a
Mi sitaki na sitaki
Drama na nukusi haunipati
Sitaki ma moods
Kama si mali kama si ganji niko jumanji
Niko kwa moods
Imagine nilienda kwa dude nilikula mchti nilinuka gwai blocker
Madhambi ziko kwa boobs
Kama sitaki, sitaki kwani nilazima ?
Mbona unaforce ?
Manzi alipigwa stopper DM akajam
Kama spread on toast

I guess niliishingi illegal left him
Already and he had some hopes
Hi click ni savage click ni wrong hii
click click ni ya anati
Haunipati Walaki haki
unaeza ni illuminati
 
Wapi ? Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki  
Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki  
Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki  (sitaki na sitaki)
Wapi ? Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki
Manabuoni fire sitaki na sitaki na manabuoni fire
Comments

Other song(s) of Femi One

You may also like these lyrics

00:00 00:00