Harmonize Anajikosha Lyrics, Paroles

Anajikosha

05 January 2021
8

Harmonize Anajikosha Lyrics

(Daxo Chali)


Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha

Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha


Jumamosi kakesha analewa

Jumapili kanisani, anajikosha

Eti sipendi vya kupewa

Bango analipa shabani, anajikosha


Shoga jana nilinoga

Na nywele yako umetisha, anajikosha

Nimesharudi naoga

Jioni nitairudisha, anajikosha


Kwanza hata usitume tena

Tayari nishazila, anajikosha

Hasa baby nitakula nini

Zilikuwaga ni hasira, anajikosha


Penzi bichi makele bwana

Nimehama nipo mbweni, anajikosha

Tena huku ni baridi sana

Huhitaji hata feni, anajikosha


Awii, awaaa

Awii, awaaa

Awii, awaaa

Awii


Asa lelele, lelele lelelelee

Lelele lelelelee

Tuimbe tena, lelele lelelelee

Lelele lelelelee


Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha

Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha


Baby baby umeniweza kwa bedi

Simkumbuki Juma wala Mohamedi

Ila mbona simu yake sasa

Hataki nijue password, anajikosha


Nitanyoosha chuma

Pengine shida mtandao, anajikosha

Nikipiga kwa watoa huduma

Maelezo ni kibao, anajikosha


Mi siwezagi za kucheza cheza

Na mshipa ngiri, anajikosha

Mara ghafla kaihama meza

Anakimbia ya pili, anajikosha


Hio ndinga ilikamatwa

Nikampa leseni, anajikosha

Kumbe aliena kuvimba Tabata

Na kademu pembeni, anajikosha


Awii, awaaa

Awii, awaaa

Awii, awaaa

Awii


Asa lelele, lelele lelelelee

Lelele lelelelee

Tuimbe tena, lelele lelelelee

Lelele lelelelee


Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha

Anajiko, anajikosha

Anajikoo, anajikosha


Yebo, yebo, yebo

Other song(s) of Harmonize

Trendings Lyrics

00:00 00:00