Harmonize Inanimaliza Feat Mr Blue Lyrics, Paroles

Inanimaliza Feat Mr Blue

13 March 2020
655

Harmonize Inanimaliza Feat Mr Blue Lyrics

First time when I saw you

Nilitamani nikueleze, how I feel

That was [?] alafu macho nikukonyeze

Maybe you can feel


I swear, moyo ungekuwa kitabu

Ningefunua uone, yaliyomo ndani

Yaani mwenzako napata taabu

Sina furaha hata tone, nionege imani

Oooh my love, ooh oh oh


Macho yanaona kama umejibu yes

Moyo unaona kama umesema non, non, non

Macho yanaona kama umejibu yes

Moyo unaona kama umesema non, non, non, non yeah

Kusema kweli mi inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza

Inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza


Babylon, Bizy

Yeah ah

Sibongi nimekuwa kimbau mbau

Ghafla chui nimekuwa kinyau nyau

Mpaka sijui nayosema nimesahau

Vita ya penzi imekuwa kama Mau Mau

Nikiona sura nakonda

Nikiona chura, nashindwa kubonga

Nakua mburura masikini omba omba

Kutwa nazurura kutuliza kidonda

Maumivu kama yangu anayo Konde Boy

Namtuliza mwanangu ah usikonde boy

Macho yanaona yes, akili inasema

non non non atakukazia


Ooh oh oh

Macho yanaona kama umejibu yes

Moyo unaona kama umesema non, non, non

Macho yanaona kama umejibu yes

Moyo unaona kama umesema non, non, non, non yeah

Kusema kweli mi inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza

Inaniumiza, inanimaliza, na sijamaliza


Other song(s) of Harmonize

Trendings Lyrics

00:00 00:00