Harmonize Leave Me Alone lyric

Leave Me Alone

Harmonize Harmonize
18 October 2022
3

Harmonize Leave Me Alone Lyrics

I don't need nobody
Akinipenda mungu inatosha
Yeah I don't need nobody
I don't need nobody yeah yeah
Akinipenda mungu inatosha
I don't need nobody
I don't need nobody

Tulio ishi kwa ndugu ndio tunazijua hustle
Kula na kulala manyanyaso
Fungasha urudi kijijini best naso
Mi akinipenda mungu inatosha

Mwengine atakusave kwenye shida
Utamdhani rafiki wa faida
Kumbe moyoni ana kuchukulia barida
Siku ukifanikiwa zinaanza shida

Yes now am going to another level
Sito tumia ndumba wala nguvu za devil
Simuitaji mwijaku h, na baba levo
Mi akinipenda mungu inatosha

Yes mi napenda marafiki
Wale wanao kuwepo wakati wa dhiki
Sio wanao kuja deal zikitiki
Sipendi unafiki akinipenda mungu
Inatosha no no no

Akinipenda mungu inatosha
Yeah I don't need nobody
I don't need nobody yeah yeah
Akinipenda mungu inatosha
I don't need nobody
I don't need nobody

Eti kisa unani follow unanipangia cha kuposti
Me siku follow shobo zako zinaku cost
We ni unfollow usiniletee mikosi
Akinipenda mungu inatosha

Ukiniona kutwa nipo ndnai sina tatizo
Na majirani ila sitaki wanijue kiundani
Akipenda mungu inatosha

Yeah I swear to my dead body
Simuamini rafiki anae nilipia kodi
Pengine anafurahi mi kumpigia hodi
Akinipenda mungu inatosha

Yes mi napenda marafiki
Wale wanao kuwepo wakati wa dhiki
Sio wanao kuja deal zikitiki
Sipendi unafiki akinipenda mungu
Inatosha no no no

Akinipenda mungu inatosha
Yeah I don't need nobody
I don't need nobody yeah yeah
Akinipenda mungu inatosha
I don't need nobody
I don't need nobody

Akinipenda mungu inatosha
I don't need nobody
I don't need nobody
Akinipenda mungu inatosha
I don't need no
I don't need no
I don't need nobody

Akinipenda yeh
Akinipenda mungu
I don't need no no nobody
Comments

Other song(s) of Harmonize

Harmonize
Harmonize
Harmonize

You may also like these lyrics

00:00 00:00