Harmonize Teacher lyric

Teacher

Harmonize Harmonize
27 August 2021
41

Harmonize Teacher Lyrics

Yaw Yaw
Hahahaaa
Jeshiiiii

Yeah
Wakati wanahanya kugombea kiti
Wanadanganyana na viewers wakucheat
Mie jicho liko nyanya nishakula kijiti
Na magoma yakipigwa huko club mtitii
Ninachojua masala huko mtaani kuna dhiki
Ndo maana siringishi hela wala navyo vimiliki
Mafumbo andika kwa dela watu wanataka muziki
Mara kumi mwanangu wa cinderela yeye hapendagi makiki
(Onananaaa)
Huu mziki nauweza nauweza kuuimba na kuucheza
Ona unavyonipendeza hadi majirani wameanza kunigeza
(khoooooo)

(Chorus)
Am your teacher
(aah)
teacher kondee
Teacher
teacher kondee

Am your teacher
teacher kondee
Teacher
(aah)
teacher kondee

(Yiiiih)

(Hook)
ikakupoteka kalipambililee
mwakauanakutayunji anakutayunji
mana vantandamwi mmakonde
vanemba newala hadi kutandahimba
naikakupoteka kalipambililee

(Chorus)
Teacher
(aah)
teacher kondee
Teacher
teacher kondee
Am your teacher
teacher kondee
Teacher
(aah)
teacher kondee
Comments

Other song(s) of Harmonize

Harmonize
Harmonize
Harmonize

You may also like these lyrics

00:00 00:00