Yeaaah, mmmh
mmmhm hhhmm
Ivi kwanini nijitutumue
Na dunia sio makazi
Viji neno neno vinisumbue
Hadi nishindwe kufanya kazi
Mama alisema mkuki kwa nguruwe
Kuishi na watu kazi
Acha atukane ata aniuwe nisha samehe
Mzazi ni mzazi
Mwenzenu naficha naficha
Mengi ninayo yaona
Kifupi nafunika kombe
Nikiamini kesho nayo siku
Mapicha picha mapicha
Sidhani kama nitapona
Wanangu wa mtaani mniombe
Hii vita ni mchana na usiku
Ooooh kuna watu uuuh
Na viatu
(wanatamani milele wawe wao ukijituma watasema unashindana nao)
Oooh ni kama watu kumbe ndani
Wana roho za chatu
(Hawatoshekwi na vikubwa vyao wanatamani hata kidogo chako kiwe chao)
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze mi lusi
Uni amshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukoza ni siri
Nawe ndo mungu baba mwamuzi
Dear Lord (wapo)
Iyeh iye iye (wapo)
Ni ngumu kuwaona (wapo)
(wapo wasotaka ufanikiwe)
Eeeh (Wapo)
Binadamu hawana jema (Wapo)
Kila unachofanya watasema (Wapo)
Waaaa (wapo wasotaka ufanikiwe)
Dear Lord
Hee, mmmh mmmmh
Watakwita mwanga kibonge
Tena kwa dharau waku cheke
Wanacho taka we uongee
Waseme shukranu ya punda mateke
Kama vipi demu wake tum gongee
Ndo anae mpiga chura teke
usipo onewa donge
Basi ndo ujue hauna mateke
Skia konde
We pambana mjini shule
Ukipata kidogo leta na wanao tule
Achana nao wanao semaga umezoea vya bure
Mana siku zote nyani halioni kundule
Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia
Wapende wote sio wa kike anacheka
Wa kiume analia lia bila msaada wowote
Ooooh kuna watu uuuh
Na viatu
(wanatamani milele wawe wao ukijituma watasema unashindana nao)
Oooh ni kama watu kumbe ndani
Wana roho za chatu
(Hawatoshekwi na vikubwa vyao wanatamani hata kidogo chako kiwe chao)
Mola nipe ujasiri
Kwenye kufanya maamuzi
Zidi nikomaza akili
Isinipoteze mi lusi
Uni amshe alfajiri
Kama jana na juzi
Kupata kukoza ni siri
Nawe ndo mungu baba mwamuzi
Dear Lord (wapo)
Iyeh iye iye (wapo)
Ni ngumu kuwaona (wapo)
(wapo wasotaka ufanikiwe)
Eeeh (Wapo)
Binadamu hawana jema (Wapo)
Kila unachofanya watasema (Wapo)
Waaaa (wapo wasotaka ufanikiwe)
Dear Lord
Special message to the youth it's youre time now to follow your dream
No matter what people to say
Stay humble, stay positive, follow your dream
Live in GOD is mine, is your mine
I love