Harmonize Yanga lyric

Yanga

Harmonize Harmonize
24 August 2020
106

Harmonize Yanga Lyrics

Oh oo oooo


Hii hapa sauti ya Konde boy mjeshi

Mtoto wa jangwani timu ya wananchi

Yaani kati kati ya jiji la Dar


Si ndo watoto wa jangwani Yanga Dar Africa

Makombe ya kabatini Hawawezi kufika

Mpira unapigwa chini magoli uhakika

Yaani dakika tisini tumesha watundika


Wanaona donge hao wanyonge

(Wanaona donge hao wanyonge)

Yanga tunaposhinda wanaona donge

(Wanaona donge hao wanyonge)                    

Wanaona donge hao wanyonge

(Wanaona donge hao wanyonge)

Yanga tunaposhinda wanaona donge

(Wanaona donge hao wanyonge)


Engineer naomba nikutume

Unifikishie salamu

Kwa Dr Msolo na Antonio Lugazi

Ah waambie majirani Yanga sio size yao

Yanga sio size yao, Kabisa!


Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe

Wanaokwenda na waende, watuachie wenyewe

Yanga sio size yao, Yanga sio size yao

Yanga sio size yao, Yanga sio size yao

Yanga sio size yao, Yanga sio size yao


Tupeleke GSM

Watoto wa GSM

Wanangu wa Jangwani


Walepale wanachechemea (Yanga Tunakimbia)

Waone wanachechemea (Yanga Tunakimbia)

Eeeh Wanachechemea (Yanga Tunakimbia)


Aanachechemea (Yanga Tunakimbia)


Wakitoka wanachechemea (Yanga Tunakimbia)Yanga Kindakindaki wapige waniuwe

Naipenda Yanga Kindakindaki wapige wniuwe

Yani mi shabiki Kindakindaki wapige wniuwe

Yanga Kufa kupona wapige wniuwe


Eeh basi kama unaipenda Yanga piga Makofi

We bwogi twende tena piga makofi

Kama unaipenda Yanga piga makofi

Ongeza Ongeza tena piga makofi


Aya pasha pasha wahumi pasha

Twende pasha pasha wahumi pasha

Aya pasha pasha Yanga pasha

I sey ma piga makofi piga makofi

Piga makofi piga makofi

Piga makofi piga makofi


Kama wa ni shabiki kweli onyesha jezi nikuone

Uzi mpya wa GSM we onyesha nikuone

Kama kweli shabiki damu vua jezi nikuone

We kama kweli shabiki damu lala chini tukuone


Asa Yanga daima mbele

Ehhh mbele kwa mbele

(Wakinshindana nasiri watachuma tembele)

Twende mbele kwa mbele

Yanga daima mbele

(Wakinshindana nasiri watachuma tembele)

Yanga daima mbele

Eeh mbele kwa mbele

(Wakinshindana nasiri watachuma tembele)

Yanga daima mbele

Yani mbele kwa mbele

(Wakinshindana nasiri watachuma tembele)


Watoto wa  Jangwani wambi

Wambi majirani zetu wamechokoza nyuki

Tunawapumilia gorin kwao Hatubanduki

Anayezungumza Apa ni


Konde boy #DTF Mjeshi

Twende sasa

Comments

Other song(s) of Harmonize

Harmonize
Harmonize
Harmonize

You may also like these lyrics

00:00 00:00