Ibraah Addiction lyric

Addiction

Ibraah Ibraah
24 November 2021
9
0
0

Ibraah Addiction Lyrics

Mmmh yeyeyeyee
Mmmh yeyeyeyee
Mmmh yeyeyeyee
Moccoo
Poombe poombe
Yaw Yaw
Poombe poombe
Poombe poombe
Jeshiiii
Poombe poombe
Eeh vanemba newala

Kwanza pombe ni dawa ukiwa na msongo
wa mawazo inakuweka sawa
(aah wewe)
 Pombe sio kahawa kama
 hauziwezi usizidishe utapagawa
(aah wewe)
 Eeh mwezenu nikinywa pombe zinashuka kwa chini
Na kichwa kinakuwaga cha moto na sio za kupimaa
Pombe iwe dompo iwe barimi zinanishikaga ndo changamoto
 Na enjoy japo nikinywa nakunja sura ni moja ya utamu wa pombe
(Utamu huooo)
 Eeh sitoboi sasa usiombe niikamate chura nazima taa hiki si nikikombe
(Utamu huooo)
(Mmmh Mmmh)

(Harmonize)
Yaw Yaw
Eeh nikizinywa nashushia na ndumu
(Poombe)
Bhasi iyo glass naiona kama dumu
(Poombe)
Nikizima niacheni humu humu
(Poombe)
Na usishangae nikila muhudumu
(Poombe)
Sipendagi kuwa sober mixture za madeni ya vikoba
Bora ninywe hata viroba uzeeni nitatubu tobaa
Kulewa ni kule kule japo chupa na ladha za pombe tofauti
(Tofaaaa)
Na mnaokunywa hennesy sisi wa savanna msitupandishie sauti za woofer
Yeboo mimi napendaga kulewa lewa pembeni kuwe mtoto totoo
Maana nikishalewa lewa kinachofata nikupeleka motoo

Poombe poombe
Poombe poombe
Poombe poombe
Poombe poombe

Yaw Yaw
Jeshiiii
Eeh vanemba newala
Mocco Genius


Comments

You may also like these lyrics

00:00 00:00