Ibraah Mama Samia lyric

Mama Samia

Ibraah Ibraah
06 July 2021
24

Ibraah Mama Samia Lyrics

Wanangu mmemuona, mama huyoo anameremetaaa
Mama samia huyoo, anameremetaaa ee
Wanangu mmemuona, mama huyoo anameremetaaa
Mama samia huyoo, anameremetaaa ee

Kama unampenda pigaa makofii maratatuu asikieee
Nabaado tunarudia, pigaa makofii tumsifieeeh
Mama samia huyoo

Niwewe mama samia
Kwel penye nia pana njia
Tunakupenda kwel wa Tanzania
Mzenyezi mungu ibriki Tanzania
Mama samia weee

Dar hatuna fileni, wanangu si mnaona
Mwendelezo flyover wanangu si mnaona
Hadi mahosipitalini si mnaona
anavyo endeleza viwanda si mnaona
Mama huyoo

Wanangu mmemuona mama huyoo anameremeta
(Wanangu mmemuona mama huyoo anameremeta)
Mama samia huyoo anameremeta eee
Samia mama huyoo anameremetaa
Mmemuona mama huyoo anameremeta
(Mmemuona mama huyoo anameremeta)
Comments

You may also like these lyrics

00:00 00:00