Ibraah Nitachelewa lyric

Nitachelewa

Ibraah Ibraah
05 September 2020
1.8K

Ibraah Nitachelewa Lyrics

Aaah uuh ooh oh, ooh chinga

Ah ah aaaah ah

Aaah uuh ooh oh, ah ah ah


Yeah sijui hata nifanyeje

Sijui hata nifanye nini me

Maana hata siamini

Hmn no ho

Nilikula kiapo nikungoje

Ila bado haiingi akilini

Maana nishakula ya mini yawe

Eh kwa mashogazo ulichota mafumbo

Ngoja ngoja inaniumiza tumbo

Masikini umeshafata mkumbo, Yaani umesepa

Umeziacha zimejaza na rundoo

Na una ponda yangu fupi myundo

Eti unaning'ong'a, tajiri wa uvundo

Ndio chanzo umeniteka, aah


Na naimani nitajijengea

Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya

Maana before nlitimia

Leo uwe mfano wa bandama umebanduka

Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah

Simanzi imenielemea shilingi imepinduka


Kama usiporudi (Nitachelewaa)

Oh oh (kupona Nitachelewa)

Ah Nitachelewam mama (Nitachelewa)

Hmm Hmm (kupona Nitachelewa)

Kupona maradhi ya moyo (Nitachelewaa)

Yeah (kupona Nitachelewa)

Kama sio wewe nani tena (Nitachelewaa)

Oh no (kupona Nitachelewa)

Nitachelewa mama


Ah ah aah, hmmm yeah

oh oh oh, yeah

Mi najaribu kujisahaulisha ila moyo unagoma, unagoma

Hasa nikikumba zako methali na nahau

Japo unanionyesha dharau

Moyo hautaki komaa, kukoma

Mwingine sitaki penda na usidhani ka nitakusahau

Oh maana vita penzi lako ntapigana

Nikiamini utarudi we changama

Maana siko sawa ujue, mkuki kwa nguruwe

Kwa binadamu mchungu (Wanaogombana)

Siku zote ndio wananopatana

Ama unapenda mi ninavolalama

Sijui nilipokosa ujue

Na malengo ujue

Mimi najua wewe langu fungu


Na naimani nitajijengea

Nisikuwaze kwa ubaya kwa ubaya

Maana before nlitimia

Leo uwe mfano wa bandama umebanduka

Labda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ah

Simanzi imenielemea shilingi imepinduka


Kama usiporudi (Nitachelewaa)

Oh oh (kupona Nitachelewa)

Ah Nitachelewam mama (Nitachelewa)

Hmm Hmm (kupona Nitachelewa)

Kupona maradhi ya moyo (Nitachelewaa)

Yeah (kupona Nitachelewa)

Kama sio wewe nani tena (Nitachelewaa)

Oh no (kupona Nitachelewa)

Nitachelewa mama


Chinga, Konde music world wide

Yeah yeah yeah yeah yeah

Comments

Other song(s) of Ibraah

You may also like these lyrics

00:00 00:00