Ibraah Sitosema lyric

Sitosema

Ibraah Ibraah
27 July 2022
45

Ibraah Sitosema Lyrics

Kalunde Takatuka twende mwanda weeh aaah mwanda wee
Sekunde maana muda ndo umesonga wee aaah songa weeeh
Sema wande japo umeniona mushamba weee aaah mshamba wee
Muda sekunde Mungu Baba ndo amepanga weee aaah panga weeh
Huna huruma weeeh tena ulinicheat na vizeee aaah
Vikongwe aah ulikuwa busy aaah mama wewe na moyo weeeh mmmh
Nilivyokufuma weee ilinibidi tu kwa upole nikuulize
Niliogopa kukupiga nsikuumize aaah mama wee kwa upole weeh

Wala sikuringiaga ustar kukubeza
Eti mimi kukunyanyasa nilikutunza wala sikuwa tasa
Maana mimba yangu uliitoa
Masikini moyo wangu nshautakasa sina kinyongo nawe
Hata sasa maana nimefungua mpya kurasa
Ila sikufichi moyo umeutoboa

Yako ya ndani (sitosema mi sitosema)
Ata yale ya ndani (Sitosema mi sitosema)
Ata Siri za kitandani (sitosema mi sitosema)
Ata yale mabaya ( sitosema mi sitosema)
Sitosema na sisemi tena

Acha tu nikuite wandoto mama weee
Umeniacha na msoto ujue mida ya kula
Nakumbukaga vile nilivyokulisha ukanilisha
Na michezo ya chumbani mi deko mama weee
Ile michezo ya kitoto ujue bado mimi inansumbuaga
Kichwani mwangu haitokagi kabisa

Eeeh siwezi kung’ang’ania kimwana wakati moyo wako
Haunihitaji tena acha mi nijinyime ninywe
Nizime huenda kesho sitokumbuka tena
Mapema sikudhania kimwana kama bazoka
Utanimeza utantema acha nizingatie heshima
Nikupatie nenda salama sitokusumbua tena

Wala sikuringiaga ustar kukubeza
Eti mimi kukunyanyasa nilikutunza wala sikuwa tasa
Maana mimba yangu uliitoa
Masikini moyo wangu nshautakasa sina kinyongo nawe
Hata sasa maana nimefungua mpya kurasa
Ila sikufichi moyo umeutoboa

Yako ya ndani (sitosema mi sitosema)
Ata yale ya ndani (Sitosema mi sitosema)
Ata Siri za kitandani (sitosema mi sitosema)
Ata yale mabaya ( sitosema mi sitosema)
Sitosema na sisemi tena

Huna huruma weeeh tena ulinicheat na vizeee aaah
Vikongwe aah ulikuwa busy aaah
Mama wewe na moyo weeeh mmmh
Comments

You may also like these lyrics

00:00 00:00