Ibraah Tanzania lyric

Tanzania

Ibraah Ibraah
16 December 2021
30
0
0

Ibraah Tanzania Lyrics

Aha chinga iyeeeeh
Tanzania iyeeeeh
Tanzania iyeeeeh
Tanzania leeeh
Tanzania ye

Alianza nyerere Baba
Akalijenga taifa letu
Akafuata mwinyi mkapa
Wakatupenda viongozi wetu
Nae Baba kikwete
Hakubweteka bwete
Alidunisha sana amani
Kamleta John Pombe Magufuli, mungu
Akamchukua angali twamtamani
Sa katupa mama, maaaama
Mama Tuna Imani na yeye
Uongozi wake salama, Salaama
Na tunampenda yeye

Tanzania, nchi yangu
Tanzania, naipenda (Tanzania)
Tanzania, na ninayo furaha
Ya kuzaliwa Tanzania
Tanzania, nchi yangu
Tanzania, naipenda (Tanzania)
Tanzania, na ninayo furaha
Ya kuzaliwa Tanzania

Tunanipenda Tanzania a
Nchi yenye amni tangu dunia naiona
Ilo jaa wazalendo wanao pendana
Tanzania oh, Tanzania oh mama oh

Tunamshukuru mungu
Bara na visiwani tuna amani
Na leo, twashekea uhuru wa miaka 60
Ah Tanzania hadi raha
Nchi yenye amani haina marumbano Tanzania
Tangu miaka ya tisini, hadi leo twadumisha muungano
Tanzania mmh

Tanzania, nchi yangu
Tanzania, naipenda (Tanzania)
Tanzania, na ninayo furaha
Ya kuzaliwa Tanzania (Tanzania oh)

Tanzaniaaaa (ah ah)
Tanzaniaaaa (Tanzania eeeeh)
Tanzania
Tanzaniaaaa


Comments

00:00 00:00