Jimmy Chansa Fahamu lyric

Fahamu

Jimmy Chansa Jimmy Chansa
:
Jux
13 August 2021
43

Jimmy Chansa Fahamu Lyrics

Sina kizunguzungu
Mama you tell me far away
Namshukuru Mungu
Kunikutanisha mi na wee yeah

Kuna wengi nimeona
Vingi nimeongea
Ila wee unachoma
Kila ukisogea

Na me sioni sisikii
Kwa vile unavyonipa Mama
Sababu nakupenda sana
Na vile ulivyonipa jana niongezee

Tena sioni sisikii
Kwa vile unavyonipa Mama
Sababu nakupenda sana
Na kile ulichonipa jana niongezee

Mi nataka ufahamu (Mimi kwako siwezi)
Mi nataka ufahamu (Ninavyokupenda mama nah nah)
Me nataka ufahamu (Upendo wangu jinsi ulivyo kwako mama)
Me nataka ufahamu (Nataka aah! ah nataka)

Mi nataka (Twende nyumbani)
Mi nataka (Na kanisani)
Mi nataka (Aah! Wewe na Mimi, milele aah)

Mi nataka (Twende nyumbani)
Mi nataka (Na kanisani)
Mi nataka (Aah! Wewe na Mimi, milele aah)

Baby girl, mi nishakuja kukupika
Tukale bata la maisha mimi na wewe
And I know, mashoga zako wakutisha
Eti kudanga ndo maisha acha unielewe

(Nah nah nah nah..)

Twende baby mwananjenje
Kimahaba wee unicheze
Upande ushuke nami nideke
Mi mama

Tena sioni sisikii
Vile unavyonipa Mama aah
Sababu nakupenda sana
Na kile ulichonipa jana niongezee

Mi nataka ufahamu (We ndo wa ubani)
Mi nataka ufahamu (Na kwangu una thamani)
Mi nataka ufahamu (Tumeanza toka zamani)
Mi nataka ufahamu (Nataka mimi ah! ah! nataka)

Mi nataka (Twende nyumbani)
Mi nataka (Na kanisani)
Mi nataka (Wewe na Mimi milele)

Mi nataka (Twende nyumbani)
Mi nataka (Na kanisani)
Mi nataka (Wewe na Mimi milele)
Comments

Other song(s) of Jimmy Chansa

You may also like these lyrics

00:00 00:00