Jux Sina Neno lyric

Jux Sina Neno

08 September 2021

Jux Sina Neno Lyrics

Ah yeah ah he
Ah yeah ah he
Ah yeah

Naona wamelemeta ngozi, imenawiri una furaha naam
Kitanda hakina siri zao la tendo una kitumbua
Mnapendezanaa, penzi liko kasi kasi
Mkipostiana, instagram status

Nshafunika kurasa, mambo ya zamani, yalishapita
Maisha mengine, sasa kuwa na amani, hakuna vitaa
Sii, kuchukii, nakuombea
Maisha memea ya furaha, mungu aoneshe njia
Sii, uumii, nimezoea
Ila nafuraha kuina familia


Niko salama, mimi sina neno
Utaitwa mama, mtoto mpe upendo
Niko salama, mimi sina neno
Utaitwa mama, mtoto mpe upendo

Najua unayo furaha, kwa zawadi uliyopata
Tena ulivyo shujaa, mtoto mama amepata 
Na nyiee, msije gombana, mtoto akapata kashkash
Vizuri kuvumiliana, matatizo mka discuss

Mmmh, tushafunika kurasa, mambo ya zamani yalishapita
Maisha mengine sasa, kuwa na amani, hakuna vitaa
Sii, kuchukii, nakuombea
Maisha memea ya furaha, mungu aoneshe njia
Sii, uumii, nimezoea
Ila nafuraha kuina familia

Niko salama, mimi sina neno
Utaitwa mama, mtoto mpe upendo
Niko salama, mimi sina neno
Utaitwa mama, mtoto mpe upendoComments

Description

  • Artist name : Jux
  • Views : 544
00:00 00:00