Mbosso Baikoko lyric

Mbosso Baikoko

09 March 2021
Featuring(s):

Mbosso Baikoko Lyrics

Eeeh, kako fine

Kila nikitaka kwenye line, (bila bila)

Shuwine, kwake nimelewa kama wine (tilalila)

Ye sisimizi nami gegedu tunagegeduana (gege)

Na nilivyo sina jinsi

Tajiri wa mbegu namuonga na mwana


Baba mndenge mama mzaramo

Uno lake la kurithi (aaah eeeh)

Nafunga tenge mwali chakalamu

Shetani mwana hibilisi

Jipu (jipu)

Uchungu (uchunguo)

Mwana nyuma umejaza kishundundu  

Kwenye zip (zipu)

Kuna kirungu (kirungu)

Usikamate utawaita wazungu eeehe


Babu mkuna nazi (mkuna nazi)

Achutama kishinanai na msuli wake ukowazi (ukowazi)

Mambo yote hadharani

Ughughughughu, mtoto anakaa Ka-Gorikipa

Tena akikata naiingizaBaby acha unachezaga (baikoko)

Unavyo baby (baikoko)

Unavyonyonga (baikoko)

We waonyeshe (baikoko)

Baby acha unachezaga (baikoko)

Unavyo baby (baikoko)

Unavyonyonga (baikoko)

We waonyeshe (baikoko)


Asa komesha dengua, dengua

Babay Dengua, dengua

Ringa dengua, dengua

Deka dengua, dengua lokole


Kanifunda la minguu

Anataka nipite peku (peku peku)

Kunduchu juu anifikishe kwetu (kwetu kwetu)

Ye ndo ladha tamu ya kitumbua

Rojo ya embe kibada (kibada)

Hodari kunengua miuno ya ushubwada (shubwada)

Nyuma kalisasambua kafungusha migavwaga (vwaga)

Anavyotafuna muwa kah kibogoyo dada

 

Katoto kamelainika mwana (mwana)

Kukapa ndizi banana (nana)

Nakapeleka kwa mama (mama, mama)

Dangote, kama kuku twakimbizana (zana)

Kanaibuka kanazama (zama)

Kamwili kana banana laana lana lana ka-zote

Ebo, mtoto anadaka gorikipa

Tena akikata naiingiza


Baby acha unachezaga (baikoko)

Unavyo baby (baikoko)

Unavyonyonga (baikoko)

We waonyeshe (baikoko)

Baby acha unachezaga (baikoko)

Unavyo baby (baikoko)

Unavyonyonga (baikoko)

We waonyeshe (baikoko)


Asa komesha dengua, dengua

Babay Dengua, dengua

Ringa dengua, dengua

Deka dengua, dengua lokole


Hamu anaifuata (anainama, anainuka mwali anaisusa)

Kwa kujishebedua (anainama, anainuka mwali anaisusa)

Kama hataki mwali (anainama, anainuka mwali anaisusa)

Kwa madoidoi (anainama, anainuka mwali anaisusa)


Comments

Description

00:00 00:00