Mbosso Kadada lyric

Kadada

Mbosso Mbosso
09 March 2021
28

Mbosso Kadada Lyrics

Kadada kamenona

Nyuma kameumbwa kameshona eeh

Kadada kamenona

Nyuma kameumbwa kameshona eeh

(It's S2kizzy beiby)


Nataka niimbe na wewe

Leo unisikilize kadada

Chonde dedede

Dede moyo nitulize kadada


Kama ikiwa ya moto

Nipe nipulize kadada

Mimi bwegege

Gege kwako nimalize kadada


Eey akisema afungue duka kadada

We ona watu wataacha change

Utajikuta unachoma pesa tu baba

Watu wanateleza kizenji


Sura ya kisomali

Shepu nyama nyama tele (Tele)

Chachandu kachumbari

Namchomea tetere (Tele)


Putururu msonobari

Namfungia kwa mbele (Mbele)

Kulia nina rosary

Kushoto fundo la ndele (Ndele)


Adana, taratibu usinikimbize basi

Adana, mi mnyonge sijazoea gasi


Mungu kamuumba kadada, kadada

(Na Mungu kazi ya kuumba anajua)

Mungu kamuumba kadada, kadada

(Kisura kama jua linatua)


Mungu kamuumba kadada, kadada

(Vile nina kipini cha pua)

Mungu kamuumba kadada, kadada

(Mmmh amazing, amazing)


Kadada kamenona

Nyuma kameumbwa kameshona eeh

Kadada kamenona

Nyuma kameumbwa kameshona eeh


Akiba ana nywele

Ama akiziachia (Kadada kadada)

Unalewa bila kunywa

Akikuangalia (Kadada kadada)


Anataka kunipa ajifanye mchoyo

Hata kuniendesha endesha kitoyo

Anavyotingisha tingisha yoyoyo

Hata kunidatisha datisha nifollow


Kwa kupendeza kama anakomoa

Hata mademu wenzake marks wanatoa

Mwana hajapaka make-up kapoa

Sasa usimkute ameshajipodoa podoa


Kingine nampendea mtu wa fashion fashion

Mambo flani flani ya kisasa

Subiri uone action action

Akiinuka akitembea mambo kwasa kwasa


Sura ya kisomali

Shepu nyama nyama tele (Tele)

Chachandu kachumbari

Namchomea tetere (Tele)


Putururu msonobari

Namfungia kwa mbele (Mbele)

Kulia nina rosary

Kushoto fundo la ndele (Ndele)


Adana, taratibu usinikimbize basi

Adana, mi mnyonge sijazoea gasi


Mungu kamuumba kadada, kadada

(Na Mungu kazi ya kuumba anajua)

Mungu kamuumba kadada, kadada

(Kisura kama jua linatua)


Mungu kamuumba kadada, kadada

(Vile nina kipini cha pua)

Mungu kamuumba kadada, kadada

(Mmmh amazing, amazing)


Kadada kamenona

Nyuma kameumbwa kameshona eeh

Kadada kamenona

Nyuma kameumbwa kameshona eeh


Kingine nampendea mtu wa fashion fashion

Mambo flani flani ya kisasa

Subiri uone action action

Akiinuka akitembea mambo kwasa kwasa


(Ka Mix Lizer)
Comments

Other song(s) of Mbosso

You may also like these lyrics

00:00 00:00