Mbosso Pakua lyric

Pakua

Mbosso Mbosso
09 March 2021
35

Mbosso Pakua Lyrics

Akaa,

kana kiuno laini cha kucheza baikoko (koko)

Nikikaona natamani tyu nichambe    doko (doko)

Hallo tena tatu kwa mbili hapana si kimoko (moko)


Ah ah,

Chenga kwa mwili ka kagere john boko, chii

Ahaa, hallo, ohoo

Kanavyio ishege ishegetua (ishegetu)

Ahaa, kama kana pingili anavyoicheketua (cheketu)


Asaa letee letee (niiweke)  

Oooh letee (niiweke)

Ilete mpaka chini (niiweke)

Unaogopa nini (niiweke)

Oh baby letee letee (niiweke)

Oh letee (niiweke)

Mpaka juu darini (niiweke)

Usio na kazi kazini


Pakua, oh paku pakua pakua

Uno la pochopocho asa pakua ehee he (pakua pakua)

Ka kisavu cha kopo oya (pakua)

Oya pakuipakachua (pakua pakua)

(Pakua, pakua pakua)


Mmmh,

Asa ile, iletete

Mtoto punguza matepete acha kitee, kitetete

Nivunjevunje niwe kiwetete aeee

Oh, kiportable mtoto kapungua (sepetu)

Kipele kikiwasha sikuni nakakwarua

Mtoto kashika fimbo ya babu

Namshikisha adabu

Wasiotupenda twawapa tabu

Tunawaimbia taarabu (ah oh)

Hawaaana la kusema hawaana (hawaana)

Ayii hawaana la kusema hawaana


Asaa letee letee (niiweke)  

Oooh letee (niiweke)

Ilete mpaka chini (niiweke)

Unaogopa nini (niiweke)

Oh baby letee letee (niiweke)

Oh letee (niiweke)

Mpaka juu darini (niiweke)

Usio na kazi kazini


Pakua, oh paku pakua pakua

Uno la pochopocho asa pakua ehee he (pakua pakua)

Ka kisavu cha kopo oya (pakua)

Oya pakuipakachua (pakua pakua)

(Pakua, pakua pakua)


Oya baby, sisi, [?]

Funga mkanda

eeh baby, sweet, si kushoto kulia (Msongomsongo)

Jamani popo popo, amsha popo (amsha popo)

Nasema popo popo, leo popo (amsha popo)




Comments

Other song(s) of Mbosso

You may also like these lyrics

00:00 00:00