Mbosso Sakata lyric

Sakata

Mbosso Mbosso
09 March 2021
37

Mbosso Sakata Lyrics

(Nusder on the beat)

Iyee, ola ola, ola ola


We mwana we umefunika nini

Funua nione

Asa unaninyima nini?

Uchoyo ukome


Peku peku nidondoshe porini

Na miiba zinichome

Kwetu maji mengi ya nini

Nipe matone


Kishati shati piga pasi, ola ola

Leo sema twende wapi, ola ola

Nikugande gande ka papasi, ola ola

Mmmh wewe wewe, ola ola


Aga ma, natafuta kiko iko wapi?

Chuma chuma dede

Wakiuza siso uza gati

Chuma chuma dede


Huko dhambi mwiko sipataki

Chuma chuma dede

Ziba mwanzo mwisho wacha kati


Agaga acha wavunje nazi

Mwagaranyo, ola ola

We niroge na vya nazi

Vya zaramo


Sakata, isakatue

Sakata, isakatue

Sakata, isakatue

Sakata


Sakata, isakatue

Sakata, isakatue

Sakata, isakatue

Sakata


[Flavour]

Your love dey shake me like kai kai

If kwa heart you can mind mind

-------

-----


Agaga acha wavunje nazi

Mwagaranyo, ola ola

We niroge na vya nazi

Vya zaramo


Sakata, isakatue

Sakata, isakatue

Sakata, isakatue

Sakata


Sakata, isakatue

Sakata, isakatue

Sakata, isakatue

Sakata


(Wasafi)
Comments

Other song(s) of Mbosso

You may also like these lyrics

00:00 00:00