Mbosso Tulizana lyric

Tulizana

Mbosso Mbosso
:
09 March 2021
54

Mbosso Tulizana Lyrics

Eeeh, mmmh, eeh

Ana vidimple dimple

Vishimo shimo mashavuni

Mikononi vipiko piko

Eti kipini kipo kitovuni


Ya nini nibaki kiwiliwili

Na kichwa changu ni wewe

Iweje pendo kwao liwe pilipili

Na twakula wenyewe


Mungu kakuumba

Mithili ya malaika yayaya

Samaki wa kukunja

Chumbani unanyumbulika yaya


Kwa penzi usitie kibanzi

Kitaniumiza ah

Upendo  ukawa kitanzi

Nikajining'iniza


Ikienda mrama irudishie

(Popoa popoa dodo)

Ikikwama kwama isukumie

(Popoa popoa dodo)


Tulizana

Tulizana mpenzi tupendane

Tulizana mpenzi tupendane

Tulizana mpenzi tupendane

Tulizana mpenzi tupendane


Kama nyota na mwezi

Vilo mwana na angani

Tung'arishe penzi letu sote

Tupeane penzi bila choyo chochote

Na bila hiana kwetu sote


Elewa mapenzi ni chombo

Kinachotuunganisha

Ni chombo kinachosafiri

Kati ya mioyo yetu miwili ilofaidi


Tulizana mpenzi tupendane

Tulizana mpenzi tupendane

Tulizana mpenzi tupendane

Tulizana mpenzi tupendane


Ikienda mrama irudishie

(Popoa popoa dodo)

Ikikwama kwama isukumie

(Popoa popoa dodo)
Comments

Other song(s) of Mbosso

You may also like these lyrics

00:00 00:00